Habari za majukumu....
Naomba kufahamishwa kuhusiana na sheria inayohusu malipo kwa mfanyakazi pindi anapoingia mkataba na mwajiri wake.
Hapa nazungumzia pesa ya kujikimu tu inauotolewa mwanzo wa mkataba...
⚠️Je hii pesa ipo kisheria au ni maamuzi ya mwajiri kutoa au laa..
Natanguliza shukran...