Naomba kufahamishwa kuhusu aina zote za makato(charges) za akaunti ya kawaida hususani CRDB

StudentTeacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2019
Posts
4,153
Reaction score
4,301
Naomba kufahamishwa kuhusu aina zote za makato(charges) za akaunti ya kawaida hususani CRDB bila kusahau time limit ya makato hayo yaani kama ni kwa mwezi n.k
 
Hapo utapata kila kitu utakacho. Chini kabisa kuna Tariffs Guide 2019, hiyo ina charges zote mkuu.
 
Naomba kufahamishwa kuhusu aina zote za makato(charges) za akaunti ya kawaida hususani CRDB bila kusahau time limit ya makato hayo yaani kama ni kwa mwezi n.k
Kwa mwezi CRDB wanakucharge 1888 kama monthly fee na 13000 kama annual fee kwa mwaka
Ukitumia ATM kuwithdraw unakatwa 1200 kwa kila transaction
Na ukitoa pesa kupitia ndani ya bank kwa teller unakatwa 3000
 
Na akitumia simu banking kuhamisha toka bank kwenda mpesa/Tigo pesa unakatwa 2000/=
Kwa mwezi CRDB wanakucharge 1888 kama monthly fee na 13000 kama annual fee kwa mwaka
Ukitumia ATM kuwithdraw unakatwa 1200 kwa kila transaction
Na ukitoa pesa kupitia ndani ya bank kwa teller unakatwa 3000
 
Asante sana

Duh
Ngoja nibaki tigo pesa
 
kama unafanya miamala ya kutoa mara kwa mara na upo karibu na ATM my friend ni heri bank.
tigo pesa kutoa laki unakatwa 3750 kama sikosei, wakati crdb unakatwa 1200, nmb 1050 au 950 hivi, KCB chini ya 1200.
Equity je?
 
NMB umekosea hapo mzee laki 1 kutoa ni 1800 kama sikosei
 
kama unafanya miamala ya kutoa mara kwa mara na upo karibu na ATM my friend ni heri bank.
tigo pesa kutoa laki unakatwa 3750 kama sikosei, wakati crdb unakatwa 1200, nmb 1050 au 950 hivi, KCB chini ya 1200.
Ntakuja baadae
 
Back
Top Bottom