StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Naomba kufahamishwa kuhusu aina zote za makato(charges) za akaunti ya kawaida hususani CRDB bila kusahau time limit ya makato hayo yaani kama ni kwa mwezi n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kufahamishwa kuhusu aina zote za makato(charges) za akaunti ya kawaida hususani CRDB bila kusahau time limit ya makato hayo yaani kama ni kwa mwezi n.k
Kwa mwezi CRDB wanakucharge 1888 kama monthly fee na 13000 kama annual fee kwa mwakaNaomba kufahamishwa kuhusu aina zote za makato(charges) za akaunti ya kawaida hususani CRDB bila kusahau time limit ya makato hayo yaani kama ni kwa mwezi n.k
Kwa mwezi CRDB wanakucharge 1888 kama monthly fee na 13000 kama annual fee kwa mwaka
Ukitumia ATM kuwithdraw unakatwa 1200 kwa kila transaction
Na ukitoa pesa kupitia ndani ya bank kwa teller unakatwa 3000

Shukrani ndugu
Hapo utapata kila kitu utakacho. Chini kabisa kuna Tariffs Guide 2019, hiyo ina charges zote mkuu.
DuhKwa mwezi CRDB wanakucharge 1888 kama monthly fee na 13000 kama annual fee kwa mwaka
Ukitumia ATM kuwithdraw unakatwa 1200 kwa kila transaction
Na ukitoa pesa kupitia ndani ya bank kwa teller unakatwa 3000
kama unafanya miamala ya kutoa mara kwa mara na upo karibu na ATM my friend ni heri bank.Duh
Ngoja nibaki tigo pesa
Equity je?kama unafanya miamala ya kutoa mara kwa mara na upo karibu na ATM my friend ni heri bank.
tigo pesa kutoa laki unakatwa 3750 kama sikosei, wakati crdb unakatwa 1200, nmb 1050 au 950 hivi, KCB chini ya 1200.
equity sijawahi kutumia. NMB, CRDB, KCB na BANCABC ndio nimewahi kutumiaEquity je?
NMB umekosea hapo mzee laki 1 kutoa ni 1800 kama sikoseikama unafanya miamala ya kutoa mara kwa mara na upo karibu na ATM my friend ni heri bank.
tigo pesa kutoa laki unakatwa 3750 kama sikosei, wakati crdb unakatwa 1200, nmb 1050 au 950 hivi, KCB chini ya 1200.
Equity je?
Equity ni Bank ambayo inamakato madogo sana kuliko Bank zote nazani maana kuuliza salio tu ni bure transaction ni 1000 mpaka 1200 kama sikosei tatizo lao branches ni chache mno lakini hakuna makato ya mwezi na nnequity sijawahi kutumia. NMB, CRDB, KCB na BANCABC ndio nimewahi kutumia
hata 1800 ni ndogo ukilinganisha na tigo pesa.NMB umekosea hapo mzee laki 1 kutoa ni 1800 kama sikosei
Ntakuja baadaekama unafanya miamala ya kutoa mara kwa mara na upo karibu na ATM my friend ni heri bank.
tigo pesa kutoa laki unakatwa 3750 kama sikosei, wakati crdb unakatwa 1200, nmb 1050 au 950 hivi, KCB chini ya 1200.