Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

Wanajamvi naomba kujua makadirio ya Skimming hasa bei ya fundi ni sh ngapi kwa nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, Dining na jiko.
Si muwe mna search kwanza kabla ya kianzisha Uzi? Mnadhani nyie ndio wa kwanza kua na uhitaji wa skimming humu?

Karibu tukufanyie kaz kaka call or WhatsApp 0757735884
Instagram highland_decor _solution kaz safi na makin ofer ya kufanyiwa finishing 50% off
 
Si muwe mna search kwanza kabla ya kianzisha Uzi? Mnadhani nyie ndio wa kwanza kua na uhitaji wa skimming humu?

Kwani nimekulazimisha kujibu ndugu kila mtu ana uhuru wake
 
Si muwe mna search kwanza kabla ya kianzisha Uzi? Mnadhani nyie ndio wa kwanza kua na uhitaji wa skimming humu?

Chief ujenzi unabadilika kila siku....uzi unaousema inawezekana sasa hivi upo nje ya muda.
 
laki nne Hadi 5 Kwa huku....
ila kwako isizid laki 5 nnje ndani
 
Back
Top Bottom