Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

Wanajamvi naomba kujua makadirio ya Skimming hasa bei ya fundi ni sh ngapi kwa nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, Dining na

Wanajamvi naomba kujua makadirio ya Skimming hasa bei ya fundi ni sh ngapi kwa nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, Dining na jiko.
Habar natumai ni mzima wa afya kwenye bei ya skimmingi na ufundi usiwena wasiwasi na bei kwa kuwa kwenye bei nilazima mukubaliane na kwa maelezo zaid plz call me 069331145 na kuhusu hesabu za mifuko ya skimming naweza kukusaidia kwaufupi kwa nyumba yako utaitaji mifuko isiyo pungua idad hii 12 na kama hikizid bas ni miwili na kila mfuko mmoja wa sikimming wa wall putt unauzwa 22000 na katka upande wa rangi hapa sasa utaamua ww na kwa kuwa ni ndan bas jua kuna langi za emulsion na silk. Kwa maelezo zaid tunaweza kujuzana na kushauliana zaid na zaid kwa mawasiliano haya 0693311454
 
Back
Top Bottom