Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya magodoro

Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya magodoro

Exited

New Member
Joined
Jan 23, 2021
Posts
3
Reaction score
8
Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara.

Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia.

Hii biashara changamoto zake ni zipi na faida yake imekaaje kwa wenye ujuzi nayo tafadhali.

Ahsanteni.
 
Ni biashara nzuri ila inaitaji uvumilivu mwezi mzima uuze godoro may be 3 au 4 kuna maisha hapo zaidi ya kufa njaa.ushauri wakati ukiuza magodoro weka na biashara nyingine hata ya uwakakala sms uuze bidhaa zingine zinazoendana na mambo ya sita kwa sita
 
Ahsante kwa ushauri, but nataka niuze na mashuka, mataulo na mito ya kulalia pia. Na vilinda magodoro pia.
 
Labda nikuulize wewe kwanini umesema magodoro na sio biashara nyingine ? Huenda kusema kwako magodoro na sio kuchagua kingine ndio kutafanya iwe biashara nzuri kwako...

Ila katika biashara yoyote unaangalia; upatikanaji; masoko na profit margin, mtu anaweza kusema faida ndogo ila kumbe wewe una machimbo yako ya kupata mzigo.... (Na sidhani kama mtu ana machimbo yake itakuwa rahisi kukwambia)

Moral of the Story; Kizuri au Kibaya kwa Juma haimaanishi kitakuwa sawa kwa Ali au Hamisi...
 
Back
Top Bottom