Wadau habari zenu,
Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia
- Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani
- Changamoto zake (japo hakuna Biashara inayokosa changamoto ila NI Bora kujua japo kwa uchache)
- Kama Kuna ubora wa vifuu ambavyo wanunuzi huangalia
- Masoko ya kuuzia baada ya kukusanya
AHSANTENI, NATAKA NIICHANGAMKIE HII FURSA MAANA NINAPOISHI UPATIKANAJI WA VIFUU NI RAHISI SANA ILA BIASHARA YAKE SIIFAHAMU KABISA
NI PESA AMBAYO NAIONA INAELEA ELEA