shangwe1
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 448
- 362
Ndugu zangu nimehangaika kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara
Lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia nifanye biashara ya M PESA ,,AIRTEL MONEY na TIGO PESA lakini sina uzoefu na hii biashara ..Naomba mwenye uzoefu na hii biashara aniambie na changamoto zake ....
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI ASANTE, japo sio mwandishi mzuri ila naombeni msaada wenu.