Nicheki 0746626015 nikupe aidia
Kuna uzi upo huku wewe nondo zote zinazohusu hiyo biashara utafute utakusaidia sana.Ndugu zangu nina nimehangainga kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia nifanye biashara ya M PESA ,,AIRTEL MONEY na TIGO PESA lakini sina uzoefu na hii biashara ..Naomba mwenye uzoefu na hii biashara aniambie na changamoto zake ....NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI ASANTE.......japo sio mwandishi mzuri ila naombeni msaada wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo Uzi wa mwaka 2004 unaweza jibu challenge za kipindi hiki Cha JPM mkuu..Kuna uzi upo huku wewe nondo zote zinazohusu hiyo biashara utafute utakusaidia sana.
Upo updatedHuo Uzi wa mwaka 2004 unaweza jibu challenge za kipindi hiki Cha JPM mkuu..
Nashanga watu wanadhani vitu vipo the same ...Upo updated
Hata huu uzi mode wakiunyaka wanauunganisha na ule,...Nashanga watu wanadhani vitu vipo the same ...
Wanakosea Sana you can't tell nijifunze kwa Mtu aliyefanya the same business kipindi TRA wamelala na kipindi hiki ambacho kila kitu kipo traceable halafu usemeHata huu uzi mode wakiunyaka wanauunganisha na ule,...
Mpe mfano wa hizo Biashara Mkuu..Kujiuza? Au Uuzaji wa Juice ya Miwa au Kuuza popcorn au Kuuza korosho au try to share a detailed informations za kumsaidia muhitajiHii biashara niliwahi kuifanya kipindi fulani, ikanishinda tatizo lake, ni kwenye kamisheni inakuwa ndogo mno!!mfano kwenye miamala yenye thamani ya milioni moja wewe unapata 10, 000!!!Hata juzi nimeona wanalalamika kuwa ni kama wanawafanyia wenye makampuni ya simu tu, mfano mtumaji anakatwa 2500, wewe wakala unapata 400!!!labda kama unachanga na biashara nyingine!!Kitu nilichoona hasa mjini kuna biashara za kijinga ambazo haziitaji msingi mkubwa ila faida ni nzuri ila sasa , ukomaee usimuonee aibu mtu, piga kazi tu, hudaiwi leseni,
Kuuza, matunda, biashara ya chipsi, supu ya pweza,Mpe mfano wa hizo Biashara Mkuu..Kujiuza? Au Uuzaji wa Juice ya Miwa au Kuuza popcorn au Kuuza korosho au try to share a detailed informations za kumsaidia muhitaji
KUNA LINE (TILL) ZA KUNUNUA WATU WANAUZA NA ZILE ZA FREE AMBAZO NI KUTOKA VODA, TIGO, AIRTEL ETC HIZI UNAFANYA APPLICATION KUZIPATANdugu zangu nimehangaika kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara
Lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia nifanye biashara ya M PESA ,,AIRTEL MONEY na TIGO PESA lakini sina uzoefu na hii biashara ..Naomba mwenye uzoefu na hii biashara aniambie na changamoto zake ....
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI ASANTE.......japo sio mwandishi mzuri ila naombeni msaada wenu.
Kuuza, matunda, biashara ya chipsi, supu ya pweza,
Biashara gani hiyo mkuu ndo tupeane mauzoefu hapaHii biashara niliwahi kuifanya kipindi fulani, ikanishinda tatizo lake, ni kwenye kamisheni inakuwa ndogo mno!!mfano kwenye miamala yenye thamani ya milioni moja wewe unapata 10, 000!!!Hata juzi nimeona wanalalamika kuwa ni kama wanawafanyia wenye makampuni ya simu tu, mfano mtumaji anakatwa 2500, wewe wakala unapata 400!!!labda kama unachanga na biashara nyingine!!Kitu nilichoona hasa mjini kuna biashara za kijinga ambazo haziitaji msingi mkubwa ila faida ni nzuri ila sasa , ukomaee usimuonee aibu mtu, piga kazi tu, hudaiwi leseni,
Ni msuli wako tu wa kutembea/kunyonga baiskeliNa biashara ya Alkasus[emoji3]
Pitia uzi wote kuna sehemu, nimezitaja