SECRET AGENT
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 254
- 497
Habari Wana JF Naomba kupata muongozo na maoni mbalimbali.
Kuna Chuo kinaitwa International University of East Africa kipo nchini Uganda kinatoa kozi mbalimbali za diploma, degree na masters na Kuna baadhi ya kozi kinatoa masomo Kwa njia ya online.
Kuna kozi pale ya Bachelor of Information Technology wanaitoa on campus na pia online. Nmetamanj niisome Kwa njia ya online studies. Nmefuatilia chuo hiki kimesajiliwa na kimepitshwa na Tume ya Vyuo vikuu Uganda.
Naomba Kuuliza je nikisoma Katika chuo hiki huku Tanzania TCU watakubali na kupitisha degree yangu kuwa inafaa Kwa sababu Mimi ni Mtumishi nataka nitumie ELIMU hii kupandishwa ngazi katika utumishi wangu so nataka niisome online Kwani Sina muda wa kukaa chuoni Kwa sasa. Naomba kujuzwa Kwa wenye maarifa.