Naomba kufahamishwa kuhusu gari aina ya Toyota Noah Voxy

1st born

Member
Joined
Jan 4, 2021
Posts
8
Reaction score
3
Wakuu kufahamishwa ubora wa noah voxy, ni chaguo sahihi kwa Mtanzania kima cha chini, na nikihitaji kuliuza miaka mitatu ijayo soko halitanisumbua?
 
1. Resale value yake ni ndogo kama unafikiria kununua af uje uuze baadae....

2. Kama unaagiza na umejiridhisha na condition ya gari fresh. Ila kinyume cha hapo utalaumu wabongo.

3. Hii gari ina malalamiko mengi sana bongo. Ila sishangai maana gari karibu zote zenye engine za d4 below Cc2500 zina malalamiko. D4 ni engine zisizotaka ubabaishaji na watu wengi wanaweza tu kuweka mafuta na kuendesha. Unakuta mtu hajui hata kama gari inawekwa coolant.
 
Asante mkuu kwa taarifa
 
Nilikua nafikiria kuiuza baada ya miaka 3
 
Kama unataka kufa Kwa presha basi nunua Hilo gari.....
utakufa bado familia yako wanakutegemea kisa umenunua matatizo(Toyota voxy)
 
Nakutana nazo kama mbili zikitumika kubeba abiria ila nahisi zimepachikwa engine ya 3S-FE!

Wastaafu hawana hamu nazo.
 
D4 engines zinahitaji utunzaji wa hali ya juu sana la sivyo ni balaa tupu
 
Back
Top Bottom