Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kufahamishwa ubora wa noah voxy, ni chaguo sahihi kwa Mtanzania kima cha chini, na nikihitaji kuliuza miaka mitatu ijayo soko halitanisumbua?
Asante mkuu kwa taarifa1. Resale value yake ni ndogo kama unafikiria kununua af uje uuze baadae....
2. Kama unaagiza na umejiridhisha na condition ya gari fresh. Ila kinyume cha hapo utalaumu wabongo.
3. Hii gari ina malalamiko mengi sana bongo. Ila sishangai maana gari karibu zote zenye engine za d4 below Cc2500 zina malalamiko. D4 ni engine zisizotaka ubabaishaji na watu wengi wanaweza tu kuweka mafuta na kuendesha. Unakuta mtu hajui hata kama gari inawekwa coolant.
Nilikua nafikiria kuiuza baada ya miaka 31. Resale value yake ni ndogo kama unafikiria kununua af uje uuze baadae....
2. Kama unaagiza na umejiridhisha na condition ya gari fresh. Ila kinyume cha hapo utalaumu wabongo.
3. Hii gari ina malalamiko mengi sana bongo. Ila sishangai maana gari karibu zote zenye engine za d4 below Cc2500 zina malalamiko. D4 ni engine zisizotaka ubabaishaji na watu wengi wanaweza tu kuweka mafuta na kuendesha. Unakuta mtu hajui hata kama gari inawekwa coolant.
Nilikua nafikiria kuiuza baada ya miaka 3
Heri Carina kuliko Voxy