Naomba kufahamishwa kuhusu Hisa

Naomba kufahamishwa kuhusu Hisa

Status
Not open for further replies.

Junior Tata

Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
18
Reaction score
2
Kila siku nasikia uuzaj na ununuzi wa hisa,
1. Naomba kuelimishwa maana ya hisa,
2. Unapataje faida unaponunua na kuuza hisa?
3. Nina kamtaj ka million 5 ninaweza kukawekeza kwenye hisa nikapata faida?
4. Uendeshaji wake ukoje?
5. Kuna masharti ya kumiliki hisa?
 
topic hiyo mkuu imeelezea vizuri tu kuhusu uwekezaji wa kwenye hisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom