Junior Tata
Member
- Oct 18, 2015
- 18
- 2
Kila siku nasikia uuzaj na ununuzi wa hisa,
1. Naomba kuelimishwa maana ya hisa,
2. Unapataje faida unaponunua na kuuza hisa?
3. Nina kamtaj ka million 5 ninaweza kukawekeza kwenye hisa nikapata faida?
4. Uendeshaji wake ukoje?
5. Kuna masharti ya kumiliki hisa?