Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana brother vitu kama laptop unaruhusiwa kuwa navyo..?
Km ww ni me sikushauri kwanza uende na lptp yako kwa siku za mwanzo. Mana mabweni ya me hayana usalama sana,ni just hall wamefanyia room partition ambayo haifika mpk juu na hivo vyumba havina milango.
Nilikuwa pale 2006-2008..
Msaada kwa anaepafahamu au aliyesoma hapo. Yaani nataka kupajua maisha yake. Naweza kwenda na MACBOOK yangu(laptop).
Km ww ni me sikushauri kwanza uende na lptp yako kwa siku za mwanzo. Mana mabweni ya me hayana usalama sana,ni just hall wamefanyia room partition ambayo haifika mpk juu na hivo vyumba havina milango.
Nilikuwa pale 2006-2008..
kwa mfano tumefahamu unamacbook kwa mfano ningekwambia umepata sifa kwa mfano unaela nyingi kumbe umepewa tu kwa mfano na demu wako kwani kuna shida kwa mfano utaleta bif? Hata kama nikisema i am sorry kwa mfano? Ila pc utaenda nayo shida ni za kiusalama kwa mfano hutajisikia vizuri mac yako ikaibiwa kwa mfano ukaenda bila nayo uangalie maisha yakoje kwani utapoteza kitu kwa mfano?
Nakukumbuka sana we, uligomea kiongozi kutoka mwaka wa kwanza asiwe raisi wakati ule wa wakina kisauti, yule mama alikuwa ndio raisi. halafu ulikuwa na fujo sana kule kwa mgosi. siku hizi mgosi kahama, na yule bwana Shibanda alipata uraisi pale lakini kwa sasa ni marehemu
Hahahaaaa. Mkuu ilikuwa zamani,sasa hv natii sheria bila shuruti. Yule mama si alikuwa anaitwa madam Josephine. Jamaa kumbe alikuja kuvuta,rip my prezidaa at KTC..[/Q
Jamaa alivuta na alikwenda akawa rais pale RUCCO, alikuwa agombee ubunge Mbeya vivini kwa tiketi ya chama fulani. , Dah, kwa mgosi moja...sasa hivi pana fensi kubwa, ila vyumba vya chuo B wameweka milango na wamepandisha kuta
Mmm kasome kwanza mazingira yaweza kuw mzigo kwako enzi hizo miaka ya 2009 kulikuwa na wizi.wa.aina mbili kati ya wanachuo wenyewe na wahun wa mtaan pale tu mnaporipot wanajichanganya na nyie wanajifanya nao ni wanachuo kuwa makin