Habari zenu wadau.
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kupata Division Three na ufaulu wangu ulikua hivi;
1.Bioligy...C
2.Chemistry..B
3.Physics...D
4.Mathematics....D
5.Geography....D
6.English.....C
7.History.....D
8. Kiswahili....D
9.Civics.......D
Baadae mwaka 2011-2013 nikasoma Cerfificate In General Agriculture na kupata 3.7 First class nakatika kilimo na mifugo unasoma jinsi ya kutibu na somo la madawa linaitwa Phamacology.
Sasa nilipenda kusoma Udactari tena unaohusu magonjwa ya kinamama na watoto.
Je naweza kusoma?......na kozi inachukua muda gani?.......chuo kipi ni kizuri?......na malipo yake yakoje?
Naombeni mnisaidie.....ILA TAFADHARI USINIDHIHAKI NA KUTOA MANENO MABAYA KAMA HUNA USHAURI NI HEKIMA ZAIDI USICHANGIE CHOCHOTE MAANA KUNA WENGINE WANA TABIA YAKUDHARAU WENGINE.
Asante!