Naomba kufahamishwa kuhusu kozi za udaktari

Naomba kufahamishwa kuhusu kozi za udaktari

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Habari zenu wadau.
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kupata Division Three na ufaulu wangu ulikua hivi;
1.Bioligy...C
2.Chemistry..B
3.Physics...D
4.Mathematics....D
5.Geography....D
6.English.....C
7.History.....D
8. Kiswahili....D
9.Civics.......D

Baadae mwaka 2011-2013 nikasoma Cerfificate In General Agriculture na kupata 3.7 First class nakatika kilimo na mifugo unasoma jinsi ya kutibu na somo la madawa linaitwa Phamacology.
Sasa nilipenda kusoma Udactari tena unaohusu magonjwa ya kinamama na watoto.
Je naweza kusoma?......na kozi inachukua muda gani?.......chuo kipi ni kizuri?......na malipo yake yakoje?
Naombeni mnisaidie.....ILA TAFADHARI USINIDHIHAKI NA KUTOA MANENO MABAYA KAMA HUNA USHAURI NI HEKIMA ZAIDI USICHANGIE CHOCHOTE MAANA KUNA WENGINE WANA TABIA YAKUDHARAU WENGINE.
Asante!
 
Hongera kwa kutaka kujiendeleza. Hapo nadhani unahitaji kwenda kusoma diploma ya utabibu kwanza ndio uunganishe chuo. Uko mkoa gani? Ungeweza kwenda na vyeti vyako ukaomba kuongea na academic master wa chuo cha utabibu.

kila la kheri, kimbiza hiyo ndoto hadi uikamate
 
Habari zenu wadau.
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kupata Division Three na ufaulu wangu ulikua hivi;
1.Bioligy...C
2.Chemistry..B
3.Physics...D
4.Mathematics....D
5.Geography....D
6.English.....C
7.History.....D
8. Kiswahili....D
9.Civics.......D

Baadae mwaka 2011-2013 nikasoma Cerfificate In General Agriculture na kupata 3.7 First class nakatika kilimo na mifugo unasoma jinsi ya kutibu na somo la madawa linaitwa Phamacology.
Sasa nilipenda kusoma Udactari tena unaohusu magonjwa ya kinamama na watoto.
Je naweza kusoma?......na kozi inachukua muda gani?.......chuo kipi ni kizuri?......na malipo yake yakoje?
Naombeni mnisaidie.....ILA TAFADHARI USINIDHIHAKI NA KUTOA MANENO MABAYA KAMA HUNA USHAURI NI HEKIMA ZAIDI USICHANGIE CHOCHOTE MAANA KUNA WENGINE WANA TABIA YAKUDHARAU WENGINE.
Asante!
Kwa kupasi kwako hapo ningelikuwa ndio mimi bora ukasomee mambo ya madawa (Chemistry) kuliko wewe kwenda kusomea U-Daktari wa akina mama hapo nilipo weka wino wa rangi ya blue ndilo somo ulilo pasi wewe na ndio hilo somo linalokufaa wewe kuliko kwenda kuumiza kichwa chako kwa wewe kutaka kusomea U-Daktari ni kazi ngumu sana ningelikushauri usomee hilo somo la (Chemistry). Ndilo litakalo kufaa na unaweza kufanikiwa asante.
 
Asante kaka kwa ushauri wako imi nipo jiji la Dar es salaam............je hicho chuo cha utabibu kipo wapi? naweza kwenda tu nikamuona.
 
Back
Top Bottom