katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Nitakuwa mwenyeji wako mwema nakuahidi hutajuta. Njoo PM.mamii katoto kazuri asikushawishi mtu wee nenda tu, fuata maono yako yanavyotaka. Mimi Mjomba wangu aliondoka kwetu akaenda kuhamia Somali tena kipindi kile cha vita kali sana. Mpaka leo ukimpigia simu anakwambia Dar hataki hata kupasikia. Unajua sehemu inaweza kuwa ngumu kwa wengine, lakini ikawa poa kwako na Mungu akakufungulia milango . Nenda kaanze maisha
Sijakuelewa mamyUliongelea wapi ukabaniwa dear?
Acha matatizo fulaniHuyu katoto kazuri mabandiko yake yananifanyaga nimjengee picha either kama sio mdada mtu wa mtungi 24/7 basi anatumia ganja au ana stress za mapenzi au ni single mother mwenye matunzo zero.
Nadhani itakuwa kwenye msiba wa mke wa kwanza wa MengiUliongelea wapi ukabaniwa dear?
Huyu katoto kazuri mabandiko yake yananifanyaga nimjengee picha either kama sio mdada mtu wa mtungi 24/7 basi anatumia ganja au ana stress za mapenzi au ni single mother mwenye matunzo zero.