Naomba kufahamishwa kuhusu mji wa Mwanza

Naomba kufahamishwa kuhusu mji wa Mwanza

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Dear People
Mimi sijui kwanini mnaona siko series napenda kujua kuhusu huu mji kama haupo poa simniambie mbona mnanibania nanipo serious
 
mamii katoto kazuri asikushawishi mtu wee nenda tu, fuata maono yako yanavyotaka. Mimi Mjomba wangu aliondoka kwetu akaenda kuhamia Somali tena kipindi kile cha vita kali sana.

Mpaka leo ukimpigia simu anakwambia Dar hataki hata kupasikia. Unajua sehemu inaweza kuwa ngumu kwa wengine, lakini ikawa poa kwako na Mungu akakufungulia milango . Nenda kaanze maisha
 
mamii katoto kazuri asikushawishi mtu wee nenda tu, fuata maono yako yanavyotaka. Mimi Mjomba wangu aliondoka kwetu akaenda kuhamia Somali tena kipindi kile cha vita kali sana. Mpaka leo ukimpigia simu anakwambia Dar hataki hata kupasikia. Unajua sehemu inaweza kuwa ngumu kwa wengine, lakini ikawa poa kwako na Mungu akakufungulia milango . Nenda kaanze maisha
Nitakuwa mwenyeji wako mwema nakuahidi hutajuta. Njoo PM.
 
Naona maelezo yanatolewa PM tu hahahaha vidume bwana.
 
Bado hawakushawishi tu kwenye Uzi ule?
 
Karibu Mwanza mji mzur kwa wastani wake, kwa ujio wa mapumziko mafupi panafaa maana kuna Hotel nzuri zenye hadhi na gharama si kubwa sana, ki biashara pia panafaa ila uwe mbunif kidogo ili uonekane umeleta kitu cha tofauti. Kama unakuja kula ujana karibu kuna watoto wazur ila ukimwi upo ukicheza kizembe umeondoka.
 
Back
Top Bottom