Naomba kufahamishwa kuhusu mji wa Mwanza

Naomba kufahamishwa kuhusu mji wa Mwanza

Karibu Mwanza mji mzur kwa wastani wake, kwa ujio wa mapumziko mafupi panafaa maana kuna Hotel nzuri zenye hadhi na gharama si kubwa sana, ki biashara pia panafaa ila uwe mbunif kidogo ili uonekane umeleta kitu cha tofauti. Kama unakuja kula ujana karibu kuna watoto wazur ila ukimwi upo ukicheza kizembe umeondoka.
HIV/AIDS kills.
 
Ukishafanya maamuzi nitafute Dalali nikupe chumba swafi kabisa kwa bei poa
 
Back
Top Bottom