Naomba kufahamishwa kuhusu online bussiness

Naomba kufahamishwa kuhusu online bussiness

Wanasema ni biashara ambayo unaweka pesa afu kuna profit wanakupa ilo makao makuu ni Marekani
Yaani unaweka pesa bila kufanya kitu chochote? Au ni forex? Bitcoin? Kama ni hizo basi sio rahisi kama wanavyokuambia.
 
Jamaa Hana maelezo ya kutosha.
Nisikilize mimi kuna mtu aliniambia jinsi ya kujiunga nao ndio maana nikauliza kama kuna mtu ana elimu kuhusu haya masuala isijekuwa kuna utapeli nashangaa tena watu wananiuliza nikaomba msaada wenu
 
N
Ndiyo wanasema afu kwa siku unapata profit je ni kweli!
we jamaa bhana huweleweki hiyo biashara gani ambayo hufanyi kitu ni kamali au? hata kamali kuna kufikiria. ww usikute wanataka kukuingiza bitclub advantage.
 
N
Ndiyo wanasema afu kwa siku unapata profit je ni kweli!
Online business yoyote sio simple kama ulivyo ambiwa mkuu

Kapitie kitabu cha 101 ways of making money in africa kitakusaidia kabla ya kusoma vitabu ya online business

Ni ushauri tu
 
Asante
Online business yoyote sio simple kama ulivyo ambiwa mkuu

Kapitie kitabu cha 101 ways of making money in africa kitakusaidia kabla ya kusoma vitabu ya online business

Ni ushauri tu
 
Bet, forex,

Huenda Mungu kakupangia utakuwa tajir kwa michezo ya bahat, baada ya kuona mambo hayaend
 
Back
Top Bottom