bending moment
Member
- Jul 9, 2017
- 56
- 70
Ndio maana niliuliza mwenye kujua details kuna wengine wameniambia niwe makiniMwambie akueleze vizuri anafanya online business ipi zipo nying
Yaani unaweka pesa bila kufanya kitu chochote? Au ni forex? Bitcoin? Kama ni hizo basi sio rahisi kama wanavyokuambia.Wanasema ni biashara ambayo unaweka pesa afu kuna profit wanakupa ilo makao makuu ni Marekani
Nisikilize mimi kuna mtu aliniambia jinsi ya kujiunga nao ndio maana nikauliza kama kuna mtu ana elimu kuhusu haya masuala isijekuwa kuna utapeli nashangaa tena watu wananiuliza nikaomba msaada wenuJamaa Hana maelezo ya kutosha.
Ndiyo wanasema afu kwa siku unapata profit je ni kweli!Unaweka pesa?
we jamaa bhana huweleweki hiyo biashara gani ambayo hufanyi kitu ni kamali au? hata kamali kuna kufikiria. ww usikute wanataka kukuingiza bitclub advantage.N
Ndiyo wanasema afu kwa siku unapata profit je ni kweli!
Online business yoyote sio simple kama ulivyo ambiwa mkuuN
Ndiyo wanasema afu kwa siku unapata profit je ni kweli!
Online business yoyote sio simple kama ulivyo ambiwa mkuu
Kapitie kitabu cha 101 ways of making money in africa kitakusaidia kabla ya kusoma vitabu ya online business
Ni ushauri tu