J justine mosha New Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Aug 3, 2014 #1 naombeni kujua hili swala silielewi...je Kwa QT 1 huwa wanafanya mtihani wenye masomo gani?na hufaulu kwa wastani gan??na vp kuhusu QT 2 nao hufanya mtihani wa masomo mangapi?na ufaulu wao hutakiwa wastan upi?naombeni mnijuze kwa anayefaham hilo
naombeni kujua hili swala silielewi...je Kwa QT 1 huwa wanafanya mtihani wenye masomo gani?na hufaulu kwa wastani gan??na vp kuhusu QT 2 nao hufanya mtihani wa masomo mangapi?na ufaulu wao hutakiwa wastan upi?naombeni mnijuze kwa anayefaham hilo
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,357 Reaction score 3,835 Aug 3, 2014 #2 tupe sababu kwanini unataka kujua!!!!
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Aug 3, 2014 #3 Nafahamu QT1,wanafanya masomo sita,ila passmark ndo sijajua,