justine mosha
New Member
- Aug 3, 2014
- 2
- 0
naombeni kujua hili swala silielewi...je Kwa QT 1 huwa wanafanya mtihani wenye masomo gani?na hufaulu kwa wastani gan??na vp kuhusu QT 2 nao hufanya mtihani wa masomo mangapi?na ufaulu wao hutakiwa wastan upi?naombeni mnijuze kwa anayefaham hilo