mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Kama unamfahamu mzee yoyote mwenye tatizo la kushindwa kukojoa mkojo (urine) au mkojo hautoki kwa usahihi naomba niunganishe naye tiba yeetu ni bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka namba yako ya simu (mobile) au e-mail au Whatsapp Mkuu tukuunganishe chap. Vinginevyo pata mawasiliano na Urology Dept. yoyote wako wengi tu. Watakushukuru sana pia "watakutoa".Kama unamfahamu mzee yoyote mwenye tatizo la kushindwa kukojoa mkojo (urine) au mkojo hautoki kwa usahihi naomba niunganishe naye tiba yeetu ni bure.
Fafanua vizuri Huduma unaitolea wapi kwa maana ya eneo ulipo au unamfuata mgonjwa au inakuwaje? Mawasiliano hakuna au wakufuate humu JF?[emoji23][emoji23]Kama unamfahamu mzee yoyote mwenye tatizo la kushindwa kukojoa mkojo (urine) au mkojo hautoki kwa usahihi naomba niunganishe naye tiba yeetu ni bure.