Weka namba yako ya simu (mobile) au e-mail au Whatsapp Mkuu tukuunganishe chap. Vinginevyo pata mawasiliano na Urology Dept. yoyote wako wengi tu. Watakushukuru sana pia "watakutoa".
Fafanua vizuri Huduma unaitolea wapi kwa maana ya eneo ulipo au unamfuata mgonjwa au inakuwaje? Mawasiliano hakuna au wakufuate humu JF?[emoji23][emoji23]