Pax Vobiscum
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 450
- 757
Habari wakuu?
Naomba kuleta kwenu swala hili la ugonjwa wa GERD.
Je, kuna watu wameugua huu ugonjwa? Wamepona? Walitumia muda gani kupona? Ulitumia njia zipi/ matibabu gani Hadi kupona?
Vipi chanzo Cha ugonjwa huo ni nini?
Kwa ufupi nilipata shida katika mfumo wa upumuaji, napumua kwa shida, kifua kinabana, ktk kuhangaika matibabu nilipata vipimo vingi hospital za wilaya, Kanda Hadi Muhimbili.
Lakini mwisho wa yote Daktari aliniambia itakuwa Ni swala la Acid reflux, kupelekea hiyo GERD.
Hii Ni baada ya vipimo kuonyesha Sina shida yoyote kwenye mapafu, moyo, Sina cholesterol n.k.
Nikapewa dawa dozi ya miezi 3, nikamaliza Daktari aliniambia Hilo tatizo litaisha tu taratibu Wala nisihangaike hospital nitapoteza gharama tu, Ila inabidi nifate mashartiambayo Ni mengi kidogo.
Masharti nafuata japo siyo 100% lkn najitahidi kufuata, lkn Hadi Sasa Ni mwaka Ila Hali bado haijatengamaa, nafuu IPO lkn kidogo.
Nimeamua kuja kwenu Greater Thinkers ili nipate lolote toka kwenu hasa msaada wakitaalamu, ushuhuda kwa waliopata hili tatizo au kuuguza mtu mwenye tatizo hili.
Karibuni sana wakuu!