KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Wakuu nimekuwa nikipokea ujumbe mwingi sana toka Voda unaotaka nijiunge na huduma yao ya bima.Jana wakaenda mbali zaidi wakanipigia simu,walisema wana bima ya Ajali,Kifo,na matibabu.
Nilivutiwa na ya matibabu maana walibambia nitakuwa natuma elfu 4 tu kila mwezi na nikilazwa nitatuma docs zote za hospital then watanipatia pole ya laki 5,walinipatia namba za whtsap nikitaka kutuma documents.
Sasa kabla ya kujiunga nilitaka kujua mwenye uzoefu na haya mambo,je kweli wanalipa in case imetokea nimelazwa?
Shukrani