Paul dybala JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 524 Reaction score 2,097 Oct 31, 2024 #1 Naomba kufahamishwa kwa anae jua,...watu wenye kuitwa singano,..au simba ni kabila gani?
CriSanToS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,233 Reaction score 3,575 Oct 31, 2024 #2 Kuna mnyakyusa nilikutana naye anaitwa Singano, sijajua kama hili jina litakuwa belonged na hili kabila au vipi?? π€π½
Kuna mnyakyusa nilikutana naye anaitwa Singano, sijajua kama hili jina litakuwa belonged na hili kabila au vipi?? π€π½
Paul dybala JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 524 Reaction score 2,097 Oct 31, 2024 Thread starter #3 CriSanToS said: Kuna mnyakyusa nilikutana naye anaitwa Singano, sijajua kama hili jina litakuwa belonged na hili kabila au vipi?? π€π½ Click to expand... Najua lugano...ila singano sidhani
CriSanToS said: Kuna mnyakyusa nilikutana naye anaitwa Singano, sijajua kama hili jina litakuwa belonged na hili kabila au vipi?? π€π½ Click to expand... Najua lugano...ila singano sidhani
fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 5,305 Reaction score 5,355 Oct 31, 2024 #4 singano ni Tanga wabondei na wasambaa ingawa wabondei ndio wengi zaidi wanatumia jina hili Simba ni wenzetu kule nyanda za juu kusini nyumbi bombi nadhani ushawajua
singano ni Tanga wabondei na wasambaa ingawa wabondei ndio wengi zaidi wanatumia jina hili Simba ni wenzetu kule nyanda za juu kusini nyumbi bombi nadhani ushawajua
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,578 Reaction score 7,774 Oct 31, 2024 #5 CriSanToS said: Kuna mnyakyusa nilikutana naye anaitwa Singano, sijajua kama hili jina litakuwa belonged na hili kabila au vipi?? π€π½ Click to expand... Mnyakyusa anaitwa Singano? .....labda japo siamini
CriSanToS said: Kuna mnyakyusa nilikutana naye anaitwa Singano, sijajua kama hili jina litakuwa belonged na hili kabila au vipi?? π€π½ Click to expand... Mnyakyusa anaitwa Singano? .....labda japo siamini
CriSanToS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,233 Reaction score 3,575 Oct 31, 2024 #6 IGWE said: Mnyakyusa anaitwa Singano? .....labda japo siamini Click to expand... Labda tujaribu kumuuliza mtunzi nguli wa simulizi za kijasusi humu Singano Jr yeye ni kabila gani?? singanojr
IGWE said: Mnyakyusa anaitwa Singano? .....labda japo siamini Click to expand... Labda tujaribu kumuuliza mtunzi nguli wa simulizi za kijasusi humu Singano Jr yeye ni kabila gani?? singanojr