Naomba kufahamishwa kuhusu watu wanaoitwa Singano au Simba

Naomba kufahamishwa kuhusu watu wanaoitwa Singano au Simba

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Naomba kufahamishwa kwa anae jua,...watu wenye kuitwa singano,..au simba ni kabila gani?
 
Kuna mnyakyusa nilikutana naye anaitwa Singano, sijajua kama hili jina litakuwa belonged na hili kabila au vipi?? 🤝🏽
 
singano ni Tanga wabondei na wasambaa ingawa wabondei ndio wengi zaidi wanatumia jina hili

Simba ni wenzetu kule nyanda za juu kusini nyumbi bombi nadhani ushawajua
 
Kuna mnyakyusa nilikutana naye anaitwa Singano, sijajua kama hili jina litakuwa belonged na hili kabila au vipi?? 🤝🏽
Mnyakyusa anaitwa Singano?
.....labda japo siamini
 
Back
Top Bottom