Naomba kufahamishwa kuusu St. John University, Dodoma

Naomba kufahamishwa kuusu St. John University, Dodoma

miikky

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
31
Reaction score
0
Mwenye detail za hicho chuo anijulishe kama kizuri upatikanaji wa hostel
 
dom dom karibu
.... mambo ya hostel cjui
 
Ebwana kama wew ni mwanaume hostel ni shidah sana coz kuna hall moja tu kwa wavulana na mengineyo ni kwa wadada tu so ukiwahi utapata. Karibu sana.
 
hostel kwa wadada... lipo hall 1 tuu ila first yr wanapewa kipao mbele ... ila kupanga mtaani ndo mpango mzima ka mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom