M miikky Member Joined Aug 10, 2014 Posts 31 Reaction score 0 Sep 11, 2014 #1 Mwenye detail za hicho chuo anijulishe kama kizuri upatikanaji wa hostel
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,921 Sep 11, 2014 #2 dom dom karibu .... mambo ya hostel cjui
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Sep 11, 2014 #3 Ngoja na mimi nisubirie jibu
M mzeeutata New Member Joined Sep 9, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Sep 11, 2014 #4 Hoster ni chache lakin ukiwahi utapata nafasi karibu
M MWANA WA PAKAYA Member Joined Aug 27, 2011 Posts 17 Reaction score 1 Sep 11, 2014 #5 Ebwana kama wew ni mwanaume hostel ni shidah sana coz kuna hall moja tu kwa wavulana na mengineyo ni kwa wadada tu so ukiwahi utapata. Karibu sana.
Ebwana kama wew ni mwanaume hostel ni shidah sana coz kuna hall moja tu kwa wavulana na mengineyo ni kwa wadada tu so ukiwahi utapata. Karibu sana.
B Bulah JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 246 Reaction score 57 Sep 11, 2014 #6 hostel kwa wadada... lipo hall 1 tuu ila first yr wanapewa kipao mbele ... ila kupanga mtaani ndo mpango mzima ka mtoto wa kiume
hostel kwa wadada... lipo hall 1 tuu ila first yr wanapewa kipao mbele ... ila kupanga mtaani ndo mpango mzima ka mtoto wa kiume
BUNGULWA Member Joined Jan 25, 2013 Posts 40 Reaction score 2 Sep 11, 2014 #7 miikky said: mwenye detail za hicho chuo anijulishe kama kizuri upatikanaji wa hostel Click to expand... Pako safi jiandae kupanga mtaani, hostel zipo kwa bei nzuri nimekaa pale miaka mitatu pako safi
miikky said: mwenye detail za hicho chuo anijulishe kama kizuri upatikanaji wa hostel Click to expand... Pako safi jiandae kupanga mtaani, hostel zipo kwa bei nzuri nimekaa pale miaka mitatu pako safi
M miikky Member Joined Aug 10, 2014 Posts 31 Reaction score 0 Sep 11, 2014 Thread starter #8 hamna noma wandugu