Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

What's behind Mona Lisa smile?
The secret behind the Mona Lisa is that the "happy" part of her smile is actually buried in a low spatial frequency pattern. So if you're not looking directly at her mouth, her smile looks cheerful. But when you look directly at her smile, parts of it disappear into the background.
 
Lete picha nyingine yenye maajabu tuichambue.
 

Mkuu samahani mtu asiyeamini uwepo wa Mungu anawezaje kuamini uwepo wa Shetani? ...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
jamaa alikua anajwezo wa kuchora na kuandika kwa wakati mmoja (Yan mkonomoja unachora wingine unaandika kwa wakati mmoja).
 
Hallo wadau wa JF.

Kuna picha maarufu duniani ilichorwa kwanzia mwaka 1503 na kukamilika mwaka 1506. Picha inaitwa Monalisa na ilichorwa na Leonardo da Vinci huko Italy ktk zama maarufu ya Renaissance.

Picha hii ndiyo picha maarufu kuliko picha zote duniani ilihali ni ya kuchorwa. Inaingiza mamilioni ya dola kwa utalii Kila mwaka huko Paris Ufaransa. Ipo Ufaransa baada ya Napoleon kuichukukua kimabavu enzi za utawala wake.

Je picha hii ina nguvu za kiroho? Kwanini iwe maarufu hadi leo?
 
Ilichorwa na Leornado Da Vinci
Nafikiri imeficha maana kubwa ndiyo maana imekuwa maarufu na imechorwa pia na mchoraji mahiri
 
Wajuvi wanadai Kuna codes humo ndani za kufa mtu.mambo ya utakatifu wa mwanamke ulioondolewa na kanisa.

Kwa ufupi ni ujinga wa wazungu ambao sisi hautuhusu.
 
Naona dstv wameikomalia sana hii picha ya Monalisa kwa sasa kwenye Tangazo fulani hivi
 
Leonardo Da Vinci aliwahi kufanya kazi kanisani lakini alikuwa mpinga kanisa mkubwa. Nielewe, sio mpinga kristo, alikuwa mpinga kanisa. Alitumia codes kwenye sanaa zake kuwakilisha imani yake.
Wapinga kanisa walikuwa ni wanachama wa secret societies kwasababu ukijulikana wewe ni mpinzani hukumu yako ni kifo cha kikatili.

Yule mwamba mi na mwelewa kwenye ule mchoro wa The last supper. The story behind it is minigficent. Ni code ambayo imekuja kuvunjwa baadae baada Dunia kustaarabika. Kwenye ule mchoro unamwonyesha Yesu akiwa na wafusi wake 12 na mwanamke mmoja. If you go deep utagundua yule mama alikuwa mtu muhimu sana lakini baada ya Yesu kufa akuna anayejua habari zake tena.
 
AKa The Holy grail..Au Sangreal..
Hii kitu kwa wakristo ni Ngumu Kusema
 
Ni Rennaisence na siyo Medieval
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…