Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

View attachment 425984

Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au?

Wajuzi naombeni msaada

Pia Soma> Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa Mona Lisa na Da Vinci Code
What's behind Mona Lisa smile?
The secret behind the Mona Lisa is that the "happy" part of her smile is actually buried in a low spatial frequency pattern. So if you're not looking directly at her mouth, her smile looks cheerful. But when you look directly at her smile, parts of it disappear into the background.
 
Upo Sawa mkuu, ila shida kubwa ni hatufanyi watu wetu, hususani wachoraji wetu kuwa na fikra zenye ubunifu katika mzingira yetu.

Kwa mtazamo wangu, hii mada ingetumika kujali vya kwetu, na pia kuwalisha wachoraji wetu vitu muhimu katika fani ya uchotaji.

Harafu hao wachoraji wa njee wakatumika kama key ya mafanikio yao.
Lete picha nyingine yenye maajabu tuichambue.
 
Kama nikivyowaambia mwanzo da Vinci alikuwa haamini kama kuna Mungu so nae alikuwa kwenye hizi devil worshiper secret societies. So na hii ulikuwa Ni mpango shetani kuharibu historian ya YESU na ili apate wafuasi wengi tu. Na amefanikiwa kwa kiasi Fulani.
Remember Da Vinci alikuwa haamini kama kuna Mungu.

Mkuu samahani mtu asiyeamini uwepo wa Mungu anawezaje kuamini uwepo wa Shetani? ...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 425984

Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au?

Wajuzi naombeni msaada

Pia Soma> Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa Mona Lisa na Da Vinci Code
jamaa alikua anajwezo wa kuchora na kuandika kwa wakati mmoja (Yan mkonomoja unachora wingine unaandika kwa wakati mmoja).
 
Hallo wadau wa JF.

Kuna picha maarufu duniani ilichorwa kwanzia mwaka 1503 na kukamilika mwaka 1506. Picha inaitwa Monalisa na ilichorwa na Leonardo da Vinci huko Italy ktk zama maarufu ya Renaissance.

Picha hii ndiyo picha maarufu kuliko picha zote duniani ilihali ni ya kuchorwa. Inaingiza mamilioni ya dola kwa utalii Kila mwaka huko Paris Ufaransa. Ipo Ufaransa baada ya Napoleon kuichukukua kimabavu enzi za utawala wake.

Je picha hii ina nguvu za kiroho? Kwanini iwe maarufu hadi leo?
 
Hallo wadau wa JF.

Kunapicha maarufu duniani ilichorwa kwanzia mwaka 1503 na kukamilika mwaka 1506. Picha inaitwa Monalisa na ilichorwa na Leonardo da Vinci huko Italy ktk zama maarufu ya Renaissance.

Picha hii ndiyo picha maarufu kuliko picha zote duniani ilihali ni ya kuchorwa. Inaingiza mamilioni ya dola kwa utalii Kila mwaka huko Paris Ufaransa. Ipo Ufaransa baada ya Napoleon kuichukukua kimabavu enzi za utawala wake.

Je picha hii ina nguvu za kiroho? Kwanini iwe maarufu hadi leo?
Ilichorwa na Leornado Da Vinci
Nafikiri imeficha maana kubwa ndiyo maana imekuwa maarufu na imechorwa pia na mchoraji mahiri
 
Hiyo hapo ichek vzr lazima apate umaharufu tuu
tapatalk_1588228640240.jpeg
 
Wajuvi wanadai Kuna codes humo ndani za kufa mtu.mambo ya utakatifu wa mwanamke ulioondolewa na kanisa.

Kwa ufupi ni ujinga wa wazungu ambao sisi hautuhusu.
 
Naona dstv wameikomalia sana hii picha ya Monalisa kwa sasa kwenye Tangazo fulani hivi
 
Leonardo Da Vinci aliwahi kufanya kazi kanisani lakini alikuwa mpinga kanisa mkubwa. Nielewe, sio mpinga kristo, alikuwa mpinga kanisa. Alitumia codes kwenye sanaa zake kuwakilisha imani yake.
Wapinga kanisa walikuwa ni wanachama wa secret societies kwasababu ukijulikana wewe ni mpinzani hukumu yako ni kifo cha kikatili.

Yule mwamba mi na mwelewa kwenye ule mchoro wa The last supper. The story behind it is minigficent. Ni code ambayo imekuja kuvunjwa baadae baada Dunia kustaarabika. Kwenye ule mchoro unamwonyesha Yesu akiwa na wafusi wake 12 na mwanamke mmoja. If you go deep utagundua yule mama alikuwa mtu muhimu sana lakini baada ya Yesu kufa akuna anayejua habari zake tena.
 
AKa The Holy grail..Au Sangreal..
Hii kitu kwa wakristo ni Ngumu Kusema
 
Hii picha imechorwa na genius Da Vinci during medieval era..inasemekana imebeba siri nyingi saana. Siri hizo wachache saana wamepata bahati ya kuzing'amua.

Ikiwemo sura ya yule mwanamke Mona Lisa ilikuwa ni mchanganyiko wa sura kiume na kike sababu jamaa alikuwa shoga hivyo alihisi ana sehemu flani ndani ya mwili wake inayowakilisha mwanamke.
Ni Rennaisence na siyo Medieval
 
Back
Top Bottom