Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Huyu Leonardo Da Vinci alizaliwa karne ya 15 na wanajamvi humu wanataka kulazimisha tuamini mambo yake?Uko sahihi. Yohana katika biblia ndo alikua mdogo kabisa katika mitume wake na ndo wa mwisho kufa. Biblia inaposema mwanafunzi aliye mpenda Yesu alikuwa ndo huyo. Si tu kuwa yesu alimpenda bali pia walifanana sana kiasi hata Yuda alitumia ishara ya busu ili aakari wasilamate asiye. Huyo ndo Yohana ambaue Yesu alimzaa na Magdaleni. Narudia siyo mimi bali davinci code!
Ukisoma vitabu vya brown unaweza ukawa kama anayetazama series za kikorea. Yaani kama unashuhudia live yale matukio. Kumbe story tu.