Kwa ziwa victoria sina uhakika ila kwa ziwa Tanganyika walifungalakin nasikia ziwa lilifungwa kupisha kuzaliana tena,je ni kweli na halijafunguliwa bado?
Ni kweli limefungwa week imeisha nadhani karibuni litafunguliwa,bhuwa linafungwa kila baada ya week ili viumbe humo wazaliane wa kutoshalakin nasikia ziwa lilifungwa kupisha kuzaliana tena,je ni kweli na halijafunguliwa bado?
Hao samaki wewe unauzia maeneo gani? ili nikushauri jambo kidogo.Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji.
Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa.
Bei zimekuwa zikipaa kila leo bila kushuka imepelekea walaji kupunguza manunuzi na hivyo biashara kuwa ngumu na isio na uhakika.
Naomba kujua shida ni nn kwa mlio wazoefu au mlio karibu na ziwani. Tetesi zinasema ziwa lilifungwa na halijafunguliwa bado, wengne wanasema serikali imeruhusu samaki kuuzwa sana nje ya nchi hivyo kumekuwa na uhaba kwa hapa ndani
Naomba kuwasilisha..
kwahyo tusitegemee mabadiliko ya bei siku za karibuni? kuna haja ya kubadilisha aina ya biashara sasaNpo mwanza,upatikanaj wa samaki umekuwa mgumu mno na uendeshaj wa kaz hz za uvuvi zimekuwa juu,pia wavuvi wamekuwa wajuaji sana wanauza lakin wew mnunuz unaweza usipate hata faida huko unakoenda kuuza
Ziwa bado halijafungwa
Tena wakat huu wa mvua ndo ilitakiwa bei zishuke maana samaki hupatikana kwa wingi,ukiona mpaka mwez wa tatu mambo yabadiliki usitegemee tena kuwa yatakuwa sawakwahyo tusitegemee mabadiliko ya bei siku za karibuni? kuna haja ya kubadilisha aina ya biashara sasa
Majeshi yanayozunguka ziwa Victoria wafungue vitaru vya kuzarisha miche ya samaki namaanisha samaki wazalishww sehemu maalumu badae warudishwe ziwa Victoria katika mazingira ya asili.Tena wakat huu wa mvua ndo ilitakiwa bei zishuke maana samaki hupatikana kwa wingi,ukiona mpaka mwez wa tatu mambo yabadiliki usitegemee tena kuwa yatakuwa sawa