Naomba kufahamishwa maana ya IQ

Joined
Aug 11, 2014
Posts
88
Reaction score
8
Eti wakubwa nisaidieni IQ nini.?! Inapimwa vipi.?! eti mtu mwenye IQ kubwa kuliko anaitwa nani na anatoka nchi gani.?!?
 
Uwezo wa mtu kutafakari na kufikiri kwa makini
 
Hz zote ni nadharia tu uwezo wa m2 unategemeana na v2 vingi ikiwa pamaja na mazingira husika na mtazamo au mitazamo ya m2/w2. Ila Kwa tafsiri isiyo thibitika, ni alama anazo pata baada ya kufanya standardzd tests za ku asses uwezo wa m2 kufikiri na kupambaniu mambo.
Wenye IQ kubwa kuliko wote ni yy mwenyewe aliye gundua hilo jambo na mm mwenyewe.
 
Inatafutwa hivi............

chronological age: huu ni umri wa mtu alio nao, kama una miaka 20 basi chronological age yako ni 20 years
mental age:huu ni umri wa akili ya mtu, kama una miaka 10 na unaweza kufanya vitu ambavyo tunategemea afanye mtu wa miaka 15 basi mental age yako ni 15 years
IQ=(mental age/chronological age) x 100
mfano: ukiwa na miaka kumi unafanya vitu vya mtu wa miaka kumi
10/10 x100=100 hii ndio IQ ya mtu wa kawaida
umri unapoongezeka vigezo vinachange kwa sababu reference ya mental age inakosekana.
nowander sex ingekuwa kigezo wabongo tungekuwa magenius !
 

sex kvp??,unadhani kiwango kikubwa cha kufanya sex ni kutokana na population ya wtt wanaozaliwa ama wing wa w2 kupata magonjwa yatokanayo na kufanya sex.kwa tarifa yco nchi zny starehe sana ndo zinaongoza kwa kufanya sex
 

sex kvp??,unadhani kiwango kikubwa cha kufanya sex ni kutokana na population ya wtt wanaozaliwa ama wing wa w2 kupata magonjwa yatokanayo na kufanya sex.kwa tarifa yco nchi zny starehe sana ndo zinaongoza kwa kufanya sex sema wnyw wana weza ku control wanakuwa na safe sex inayopunguza magonjwa ya zinaa na kuzaliana kwa sana
 

Ha ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…