Naomba kufahamishwa mambo haya kuhusu kilimo cha Numbu

Zina kazi gani, ni chakula ama ni spice au? !!!!!
Zinaliwa aidha zikiwa mbichi ambapo hutolewa hilo gamba la nje zinabaki nyeupe ndani ama zinapikwa ambapo hupikwa na hilo ganda lake kisha wakati Wa kula unamenya hilo ganda lake ndio unakula
 
Numbu ni jamii ya viazi lakini si viazi.. Vinamea sana kwenye ukame. Vinahifadhi maji. Kama una kiu upo nyikani basi numbu ni uhai.
Ukila numbu nyingiii mbichi midomo inabadilika rangi lakini wanasema ni dawa ya meno
Ukichemsha unaweza kula sufuria nzima havishibishi
Ni jamii ya mizizi
Ukitaka kufanya biashara ya zao hili basi utabidi uhamie huko linakopatikana
Si zao la kibiashara kiviiileee

Vyuo vya kilimo wafanyie utafiti zao hili
 
Umenchekesha ulivyosema unaweza ukala sufuria zima. Unazijua sana numbu asee![emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom