Numbu ni jamii ya viazi lakini si viazi.. Vinamea sana kwenye ukame. Vinahifadhi maji. Kama una kiu upo nyikani basi numbu ni uhai.
Ukila numbu nyingiii mbichi midomo inabadilika rangi lakini wanasema ni dawa ya meno
Ukichemsha unaweza kula sufuria nzima havishibishi
Ni jamii ya mizizi
Ukitaka kufanya biashara ya zao hili basi utabidi uhamie huko linakopatikana
Si zao la kibiashara kiviiileee
Vyuo vya kilimo wafanyie utafiti zao hili