Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

mwambie bhana, some engineering programmes zipo variable ktk.ajira, inakuja hii inapotea, inakuja ile inakaa kidogo inapotea lakin mech ipo very very very wided in field Applications.
 
very simple questions...
naomba kuuliza, ni field zipi za engineering programmes mech haipo kabisaaaa?

bila shaka jibu hakuna
 
Iddy Rubota;

Hivi hapa Tanzania kuna engineering firms ngapi zinazousika na mambo ya mechanical na zimesajiliwa? unatambua ni kwanini vyuo vingi haviko wiling Ku enroll wanafunzi wengi wa mechanical? achilia mbali uchache wa kozi ya mechanical.

Je mwanfunzi anaweza kujiajiri ki urahisi pindi akimaliza Chuo upande wa mechanical ukilinganisha na electrical?

Je unatambua kua electrical engineer anaweza kua programmer? software developer? computer meintanance? tools; power; and machines installations? production? generations? controlling? kama nikitaja chache; jamani nothing can be done without power.
 
Mi na ww tunapishana padogo sana,
Tatizo lako ww umekuwa muwamba ngoziii... unavutiiiia kwenye mechanical...
Kwa kujaribu kusema ndiyo PEKEE yenye fursa nyingi...
Labda nikupe hii...
Uzuri wa kozi flan inategemea sana na mtu anavyoitazama, ukiitazama kozi kama civil ukiingia kiundan zaaaid utaona fursa zake, hata zile zilizojificha...
We ulichotakiwa kusema mechanical ina fursa nyingi.. lakin husitoke usingizin ukasema mechanical ndo kozi PEKEE yenye fursa nyingi... watu wenye akili watakucheka.. na watu wenye akili na huruma tutajaribu kukuelewesha...

Haya niambie hujaelewa wap nikueleweshe.
 
Mkuu naungana na wewe electrical iko vzuri sana nadhani baada yake ni mechanical
 
Haya
 
V
VIZURI Maliza kwanza chuo

Majibu utayapata and don't be surprised
 
dogo huamini prospectus ya chuo chako au ni ucompo umekujaa

masomo unayosoma yote yameainishwa kwenye prospectus ya chuo chako , wewe unakuja kuuliza huku
Acha majungu sasaaa. Nataka kulinganisha na vyuo vngine
 
Mi nakusapot ni kweli kabisa
 
Maswali mengine hayana kichwa wala miguu. Vyuo sio kama shule zakawaida zenye mtaala mmoja. Kila chuo kina mwongozo wake
 
et production, generation...
sijui unamaanisha nn, ila kama unazungumzia energy production au generation bas utakuwa huijui Electrical, ya umekurupukankutaja tu while u don't know nothing. Energy Production and Generation ni watu wa Mechanical mkuu, nenda kakae tena darasan ujifunze hiyo Electrical
 
Mkuu naungana na wewe electrical iko vzuri sana nadhani baada yake ni mechanical
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Jamaa anakudanganya, Electrical Engineer anajua kutumia tools tu lakin ikiharibika hajui atafanyaje.
Electrical Engineer hata kufunga motor tu hawez. Wanaohusika na power and Enegry Production and Genration sio Electrical Engineers, unazingua wewee hao ni Mechanical Eng.

Jamaa kumbe hajui electrical wala mechanical, mwambie aulize waliotangilia mbele yake watamwambia kama Electrical Eng anahusika na hayo anayoyataja.

kwa kifupi suala la tools and power generations ni Mechanical Pure.

kuthibitisha maneno yang aende Power Generation Station TANESCO KIGOMA au TANESCO yeyote ktk mioa wowote afu aulize wanaofanya kazi hapo wanaohusika na power generation ni electricals au mechanicals.

achen kuropoka kama hamuijui vizur mechanical au electrical ni bora mkae kimya. Au mlihadithiwa tu et eh?
 
100% hujui unachokizungumza, sure am telling u. Yan kama ni mpaka wa shamba, bas umelima shamba lako mpaka ukapitiliza shamba la jiran yako afu bado unadai ardhi ni yako kumbe hata mpaka wenyewe wa shamba lako huujui [emoji1] [emoji1] [emoji1] .
Wabongo bhana hawajui mambo afu ni hodari sana kuzungumza.

Ukija udsm hapa, first year wa mechanical anapiga workshop 6 per academic year while Electrical na kozi zingne zilizobak wanafanya 4 tu. Mech anasoma Electrical workshop, Civil workshop, Bench Workshop, Machine tools workshop, Electronics workshop, welding and forging workshop. Nilipokuwa first year wakat nahudhuria Electrical workshop, lecture aktuambia Mech ni kiungo muhimu sana ktk.jamii hasa kwa watu wa Elect kias kwamba kikosekana hakuna kitakachofanyika kama uzalishaj wa nishati, upatikanaj wa tools ktk.umeme, kufunga na kufungu motor, convertion ya mechanical energy to electrical na meng tu, na si huyo tu hata baadhi ya mambo ktk electronics yatagoma kama utengezaj wa spika, transformers, inductors, transducers n.k. Elect eng huwa ana idea ya kitu lakin mara nying huwa hajui kukitegeneza ila yeye anajua kutumia tu tofaut kabisa na mech eng yeye anajuwa vitu vyote yan anajua kinavyotengenezwa, kukitumia na mengneyo ya ziada na ndo maana mech wapo mpaka kwenye electronics wakifahamika kama MECHAELETRONICS ENGINEERS. They are very wided in applications na siyo machine tu. Mtu asiyeijua mech vizur atafikiria kufunga na kufungua injin tu lakin si kweli. Ni kwasababu ya hawa jamaa tuna umeme leo hii na vifaa ving vinavyotumia umeme kama feni, friji, motors, lakin pia tuna solars, leo hii tuna viwanda vya kutosha tu coz tools zinazotumika huko zinawahusu sana hawa jamaa, zikiharibika kama huna hawa jamaa utapata shida, electrical anajua kutumia tu hizo tools kakin hajui kuitengeneza ikifeli. Sehem.kubwa ya electricals ni ktk power supply line (Distribution of power) na imstallations. Kitu amabacho hata mechanicals wanaweza.
 
Iddy Rubota,
Sipo kwa ajili ya kubisha; najaribu kuangalia fursa ya ajira na kujiajiribkwa fani ya Mechanical pamoja na fani zingine za engineering. Mimi ni mhitimu wa fani ya uhandisi Umeme 2013 kwa level ya digrii.

Nimekaa mtaani tukiwa pamoja na wahitimu wengine wa mechanical still nilikua napata fursa za Muda mfupi wa kusimamia miradi ya ujenzi, kuasaidia kwenye design pia lakini wenzangu ilikua ngumu kidogo kuvipata hizo fursa kwasababu za uchache.

Tumetembe kwenye viwanda hapa Dar nyingi tulikuta kuna uhitaji wa wahandisi Umeme kwa wingi kuliko Mitambo ata ukiangalia uwiono wao ulikua ni tofauti ili ni kutokana na kazi zao humo kiwandani.
Kuna technolojia ya soft starters na drives kwenye viwanda vyetu, PLC na controllers pia kuna SCADA technology, hizo fursa zinawapa watu waliokwiva vizuri sana kwenye Umeme fursa ya kupata ulaji.

Electrical engineer aliyekaa vizuri kwenye power system analysis anaweza kuwa designer mzuri sana. Tukirudi kwenye uwanja wa kujiajiri vifaa vya Umeme si ghali sana ukilinganisha na vifaa vya Mitambo; ndiyo tunarudi kusema registered mechanical firms ni chache sana kulinganisha na electrical. Pia mtu aliyesoma bachelor of science in Electrical engineering anayo uwanja mpana sana ya kusoma master ya teleco, electronic and likes
 
Mm kwa upande wangu mechanical ni best kati ya hizi kozi civil, electrical ambazo ndo kozi pekee za engineering ambazo bado zina uhai hapa nchini ukilinga nisha na kozi za msimu km telecom na petroleum , mechanical ni kozi mzuri kwa sasa kutoka sera ya nchi ya viwanda na ktk viwanda mechanical ndo mtendaji mkuu kwenye mambo ya production
 
Ki ukweli engineering kozi zina sumbua kwa sababu kozi nyingi huwa za msimu na baada ya muda soko la upotea kozi zilizo hai ni civil, electrical na mechanical, changamoto za kozi za engineering hapa bongo ndo zilifanya kizazi cha PCM waliomaliza form six 2009 na 2010 chuo k kozi biashara ingawa wamepiga one Kali advance utakuta chuo mtu anasoma bcom ,baf na bba kwa sababu kozi za biashara miaka hiyo zilikuwa na market
 
haingii akilin kabisa et mechanical engineer ajue power system generation, production and controlling afu asijue power system analysis ila electrical engineer amekwiva vizur ktk hayo mambo wakat siyo zone yake huko.

Nasikitika sana napomuona mtu anapozungumzia Mechanical Eng akili yake inamtuma kwenye mitambo na Machine Element Design tu. For sure Mechanical itakuwa haifahamik vizur ktk vichwa vya watu. Ktk Mech kuna kozi inaitwa Material technology nafikir haifahamik ktk akili za watu. All engineering activities zinahitaj utumiaj wa material, how to control them, how to produce and generate them, how to repair them, their life span etc. cjui ni engineer gani anaweza fanya kazi yake pacna kuwa na different materials, na hakuna engineer mwenye ufaham mzur wa material used and technology kama Mechanicals, jmn mechanical siyo mitambo tu, embu ulizen kwanza kwa waliopita kabla yenu na siyo kuzungumza mambo juu juu tu. O level nimesoma tecnical school na nilidadis vya kutosha kule na mengne kujionea kwa macho, na hapa nilipo saiv electrical, civil na mech nazijua in nature, tena vizur tu na viwanja vyao ktk application vikoje, electrical ipo very limited, mambo mengne mnataja yanashabiana na umeme kakin ukienda kusoma kozi ya electrical hutakuta ila yatakuwa yapo kwa watu wa computer eng, telecom n.k. Sehem kubwa ya electrical Eng huku juu imejikita sana ktk designing, power supply lines and installation. Unapotaja computer software bila shaka unakosea coz hicho kitu kinashabiana na umeme kakin si kweli et Elect Eng anasoma hicho kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…