fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Ukisoma mech upo salama kabisa KATIKA solo la ajiracivil tu ndo inatoa competition lakin bado mech ipo juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisoma mech upo salama kabisa KATIKA solo la ajiracivil tu ndo inatoa competition lakin bado mech ipo juu
EXACTLYUkisoma mech upo salama kabisa KATIKA solo la ajira
mwambie bhana, some engineering programmes zipo variable ktk.ajira, inakuja hii inapotea, inakuja ile inakaa kidogo inapotea lakin mech ipo very very very wided in field Applications.Haya bana ni kitu kizur sanaaa
Sema siku ukija jua field ya MECH wala hutokaa ulete ubishi tena.
Narudia tena MECH ndiyo engineering peke ilonaki na uhakika wa kupata ajira,sasa ni VYEMA unafanya kauchunguz hata kwa wakubwa wako waliokutangulia watakueleza kidogo,maana hata wao kabla hawajamalozachuo walileta masihara hayahaya lakin sasa wanauona msoto wake.By the way sikumaanisha kua engineering zimeisha ajira kabisa, isipokua uhitajj unapungua miaka kwa miaka kwa baadhi yake,mathalan TELECOMMUNICATIONS Wakati tupo advance miaka ya 2010 ilikua badp moto,lakin wakati wa kumaliza chuo unajua imeshuka thaman kiasi na hii IPO kwa kozi nyingi tu
Mi na ww tunapishana padogo sana,Haya bana ni kitu kizur sanaaa
Sema siku ukija jua field ya MECH wala hutokaa ulete ubishi tena.
Narudia tena MECH ndiyo engineering peke ilonaki na uhakika wa kupata ajira,sasa ni VYEMA unafanya kauchunguz hata kwa wakubwa wako waliokutangulia watakueleza kidogo,maana hata wao kabla hawajamalozachuo walileta masihara hayahaya lakin sasa wanauona msoto wake.By the way sikumaanisha kua engineering zimeisha ajira kabisa, isipokua uhitajj unapungua miaka kwa miaka kwa baadhi yake,mathalan TELECOMMUNICATIONS Wakati tupo advance miaka ya 2010 ilikua badp moto,lakin wakati wa kumaliza chuo unajua imeshuka thaman kiasi na hii IPO kwa kozi nyingi tu
Mkuu naungana na wewe electrical iko vzuri sana nadhani baada yake ni mechanicalSasa ndo kidooogo unaongea km mtu mwenye uelewaa, labda nianzie hapa....
Huyo jamaa nilimkataza kutumia neno pekee... maana zipo kozi nyingne kama civil, electrical... zina fursa kibaaao, kwahyo ukisema mechanical PEKEE unakuwa
umetudanganya..
Turud kwako sasa, husiseme civil tu ndo inatoa competition, mi naweza nikakwambia... mtazamo wako ndo ulipoishia, lakin mtu ukiangalia kwa kina kozi kama electrical... inaipoteza sana hyo mechanical.
HayaMi na ww tunapishana padogo sana,
Tatizo lako ww umekuwa muwamba ngoziii... unavutiiiia kwenye mechanical...
Kwa kujaribu kusema ndiyo PEKEE yenye fursa nyingi...
Labda nikupe hii...
Uzuri wa kozi flan inategemea sana na mtu anavyoitazama, ukiitazama kozi kama civil ukiingia kiundan zaaaid utaona fursa zake, hata zile zilizojificha...
We ulichotakiwa kusema mechanical ina fursa nyingi.. lakin husitoke usingizin ukasema mechanical ndo kozi PEKEE yenye fursa nyingi... watu wenye akili watakucheka.. na watu wenye akili na huruma tutajaribu kukuelewesha...
Haya niambie hujaelewa wap nikueleweshe.
VIZURI Maliza kwanza chuoIddy Rubota;
Hivi hapa Tanzania kuna engineering firms ngapi zinazousika na mambo ya mechanical na zimesajiliwa? unatambua ni kwanini vyuo vingi haviko wiling Ku enroll wanafunzi wengi wa mechanical? achilia mbali uchache wa kozi ya mechanical.
Je mwanfunzi anaweza kujiajiri ki urahisi pindi akimaliza Chuo upande wa mechanical ukilinganisha na electrical?
Je unatambua kua electrical engineer anaweza kua programmer? software developer? computer meintanance? tools; power; and machines installations? production? generations? controlling? kama nikitaja chache; jamani nothing can be done without power.
Acha majungu sasaaa. Nataka kulinganisha na vyuo vnginedogo huamini prospectus ya chuo chako au ni ucompo umekujaa
masomo unayosoma yote yameainishwa kwenye prospectus ya chuo chako , wewe unakuja kuuliza huku
nenda kadownload prospectus za vyuoAcha majungu sasaaa. Nataka kulinganisha na vyuo vngine
Mi nakusapot ni kweli kabisaHaya bana ni kitu kizur sanaaa
Sema siku ukija jua field ya MECH wala hutokaa ulete ubishi tena.
Narudia tena MECH ndiyo engineering peke ilonaki na uhakika wa kupata ajira,sasa ni VYEMA unafanya kauchunguz hata kwa wakubwa wako waliokutangulia watakueleza kidogo,maana hata wao kabla hawajamalozachuo walileta masihara hayahaya lakin sasa wanauona msoto wake.By the way sikumaanisha kua engineering zimeisha ajira kabisa, isipokua uhitajj unapungua miaka kwa miaka kwa baadhi yake,mathalan TELECOMMUNICATIONS Wakati tupo advance miaka ya 2010 ilikua badp moto,lakin wakati wa kumaliza chuo unajua imeshuka thaman kiasi na hii IPO kwa kozi nyingi tu
et production, generation...Iddy Rubota;
Hivi hapa Tanzania kuna engineering firms ngapi zinazousika na mambo ya mechanical na zimesajiliwa? unatambua ni kwanini vyuo vingi haviko wiling Ku enroll wanafunzi wengi wa mechanical? achilia mbali uchache wa kozi ya mechanical.
Je mwanfunzi anaweza kujiajiri ki urahisi pindi akimaliza Chuo upande wa mechanical ukilinganisha na electrical?
Je unatambua kua electrical engineer anaweza kua programmer? software developer? computer meintanance? tools; power; and machines installations? production? generations? controlling? kama nikitaja chache; jamani nothing can be done without power.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Jamaa anakudanganya, Electrical Engineer anajua kutumia tools tu lakin ikiharibika hajui atafanyaje.Mkuu naungana na wewe electrical iko vzuri sana nadhani baada yake ni mechanical
100% hujui unachokizungumza, sure am telling u. Yan kama ni mpaka wa shamba, bas umelima shamba lako mpaka ukapitiliza shamba la jiran yako afu bado unadai ardhi ni yako kumbe hata mpaka wenyewe wa shamba lako huujui [emoji1] [emoji1] [emoji1] .Iddy Rubota;
Hivi hapa Tanzania kuna engineering firms ngapi zinazousika na mambo ya mechanical na zimesajiliwa? unatambua ni kwanini vyuo vingi haviko wiling Ku enroll wanafunzi wengi wa mechanical? achilia mbali uchache wa kozi ya mechanical.
Je mwanfunzi anaweza kujiajiri ki urahisi pindi akimaliza Chuo upande wa mechanical ukilinganisha na electrical?
Je unatambua kua electrical engineer anaweza kua programmer? software developer? computer meintanance? tools; power; and machines installations? production? generations? controlling? kama nikitaja chache; jamani nothing can be done without power.
haingii akilin kabisa et mechanical engineer ajue power system generation, production and controlling afu asijue power system analysis ila electrical engineer amekwiva vizur ktk hayo mambo wakat siyo zone yake huko.Iddy Rubota,
Sipo kwa ajili ya kubisha; najaribu kuangalia fursa ya ajira na kujiajiribkwa fani ya Mechanical pamoja na fani zingine za engineering. Mimi ni mhitimu wa fani ya uhandisi Umeme 2013 kwa level ya digrii.
Nimekaa mtaani tukiwa pamoja na wahitimu wengine wa mechanical still nilikua napata fursa za Muda mfupi wa kusimamia miradi ya ujenzi, kuasaidia kwenye design pia lakini wenzangu ilikua ngumu kidogo kuvipata hizo fursa kwasababu za uchache.
Tumetembe kwenye viwanda hapa Dar nyingi tulikuta kuna uhitaji wa wahandisi Umeme kwa wingi kuliko Mitambo ata ukiangalia uwiono wao ulikua ni tofauti ili ni kutokana na kazi zao humo kiwandani.
Kuna technolojia ya soft starters na drives kwenye viwanda vyetu, PLC na controllers pia kuna SCADA technology, hizo fursa zinawapa watu waliokwiva vizuri sana kwenye Umeme fursa ya kupata ulaji.
Electrical engineer aliyekaa vizuri kwenye power system analysis anaweza kuwa designer mzuri sana. Tukirudi kwenye uwanja wa kujiajiri vifaa vya Umeme si ghali sana ukilinganisha na vifaa vya Mitambo; ndiyo tunarudi kusema registered mechanical firms ni chache sana kulinganisha na electrical. Pia mtu aliyesoma bachelor of science in Electrical engineering anayo uwanja mpana sana ya kusoma master ya teleco, electronic and likes