Iddy
Inaonekana uijui electrical au unapenda ubishi Tu,unatumia kigezo kipi kusema power system analysis iwe uwanja wa mechanical?
Tangu lini mechanical engineer akajishughulisha na load model; power flow; impendence parameters; balance and unbalanced fault analysis;power system instability;transmission line modeling? Zote hizo kwa uchache zipo kwenye power system analysis.
Unasema kua controlling ipo upande wa mechanical kwa upana zaidi; hivi unajua mambo ya classical and morden control ambapo ndani take utajifunza vitu kama soft starters; drives; ujio wa MOSFET; TTLC; transistors kwa uwingi wake.
Mkuu wanya uchunguzi vizuri kuhusu mambo ya controlling na instrumentation .Usije ukasema kua electrical ina uwanja Mdogo wakati wanazigawa kutokana na upana wake.
Utapata light current; Heavy current; Power plants etc