mkaa mweusi
Member
- Jan 14, 2011
- 69
- 26
Mkuu hilo swala linachukua mda unatakiwa mda mwingi uwe unafuatilia mwenyeweNdugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo.
Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF Kinondoni. Je naweza mtuma mtu kunipelekea form hiyo ya kurekebisha michango katika ofisi za kinondoni?
Na je kwa waliowahi kurekebishiwa michango yao huwa inachukua mda gani baada ya kuwasilisha Mpaka michango kuwa sawa katika Statement?
Daah, hii inakuwa ni changamoto kubwa sana. Hususan kwa mtu ambae yupo mkoa tofauti. Nashukuru mkuu #pwilo. Maana madai hayajalipwa mpaka sasa kutokana na michango kutokamilikaMkuu hilo swala linachukua mda unatakiwa mda mwingi uwe unafuatilia mwenyewe
Tuma mtu akakuchukulie mawasiliano ya mmoja was afisa Hapo nssf kinondoni uwe una wasiliana nae akurekebishieDaah, hii inakuwa ni changamoto kubwa sana. Hususan kwa mtu ambae yupo mkoa tofauti. Nashukuru mkuu #pwilo. Maana madai hayajalipwa mpaka sasa kutokana na michango kutokamilika
Risiti za bank za malipo zipo?Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo.
Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF Kinondoni. Je naweza mtuma mtu kunipelekea form hiyo ya kurekebisha michango katika ofisi za kinondoni?
Na je kwa waliowahi kurekebishiwa michango yao huwa inachukua mda gani baada ya kuwasilisha Mpaka michango kuwa sawa katika Statement?
Tuma mtu akakuchukulie mawasiliano ya mmoja was afisa Hapo nssf kinondoni uwe una wasiliana nae akurekebishi
Mkuu hilo swala linachukua mda unatakiwa mda mwingi uwe unafuatilia mwenyewe
Tuma mtu akakuchukulie mawasiliano ya mmoja was afisa Hapo nssf kinondoni uwe una wasiliana nae akurekebishie
Mkuu nashukuru kwa ushauri huu. Ntaufanyia kaziTuma mtu akakuchukulie mawasiliano ya mmoja was afisa Hapo nssf kinondoni uwe una wasiliana nae akurekebishie
Ndugu Mshana, nimejaziwa tu form ya NSSF na mwajiri ambayo ina risiti number tu.Risiti za bank za malipo zipo?
Kwa Kinondoni baada ya kupeleka form ya kurekebisha michango, wasiliana na Dickson - Data entry officer simu yake ni 0764595471. (Ubungo Plaza). Alafu leta mrejesho kwa faida ya wengine.Mkuu nashukuru kwa ushauri huu. Ntaufanyia kazi
Hii Ndo Jf tuijuayo hutukosi msaada pale tunapo uhitajiKwa Kinondoni baada ya kupeleka form ya kurekebisha michango, wasiliana na Dickson - Data entry officer simu yake ni 0764595471. (Ubungo Plaza). Alafu leta mrejesho kwa faida ya wengine.
Sasa hivi haya mashirika yanafanya kazi kwa njia ya mtandao. Nenda kwanza hapo NSSF Mwanza, waelezee watakupa mwanga.Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo.
Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF Kinondoni. Je naweza mtuma mtu kunipelekea form hiyo ya kurekebisha michango katika ofisi za kinondoni?
Na je kwa waliowahi kurekebishiwa michango yao huwa inachukua mda gani baada ya kuwasilisha Mpaka michango kuwa sawa katika Statement?
Yaani hii kitu changamoto yake inakuja pale utakapotaka mafao yako.Nimegundua kuwa mwajiri wangu hajapeleka michango yangu katika mfuko wa Jamii niliyojiunga kwa takribani miaka miwili!!
Sasa ninataka kuwafikisha mahakamani mwajiri pamoja na huo mfuko maana nahisi kama Kuna mazingira ya mrungula
From Sir With Love, mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako. AsanteSasa hivi haya mashirika yanafanya kazi kwa njia ya mtandao. Nenda kwanza hapo NSSF Mwanza, waelezee watakupa mwanga.
Mimi naawaanzishia Sasa nahitaji kuona michango yangu yote imepelekwa! Huko wakati wa kustaafu najua la kufanya mkuuYaani hii kitu changamoto yake inakuja pale utakapotaka mafao yako.