Naomba kufahamishwa sifa za blood group "O+" positive

Utafiti mwingine kha!

Mimi ni Group O positive sina hayo yote uliyoandika
Nachofahamu hatuuguwi kirahisi
Hii ngiri ngono uzuri sijui kufanana au kuugua malaria kipanda uso sidhani
Mkuu fanya utafiti upya
 
Sema wallah....[emoji134] [emoji134]
 
Duuh yaani mkuu umetaja sifa zangu zote..! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Duhhh.....[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sema wallah....[emoji134] [emoji134]
Yani mkuu ulichokielezea kina ukweli wa 99% kwangu,my first born huwezi ata kuuliza,tunafanana balaa,kuhusu fangasi niliugua miaka 5-6 ndio nikapona but huwa zinajirudia,kuhusu kutoa kiukweli siyo siri,natoa sana,hapo kwenye mademu ngoja niwaachie waseme wenyewe,maana nshatongoza mademu wote wa humu ndani mpaka Moderators wa kike mie nshapigisha "sound" manina!!
 
Ubongo mdogo.
 
Rates yake ungeifanyia research na kuiweka ktk percentage kwa kuringanisha kwa makundi yote ingeleta maana zaidi lkn ktk upande wa magonjwa siyo kwamba ukiwa ni b.group O lazma uugue hayo magonjwa lkn kwa tafiti za hayo magonjwa zinaonyesha wengi wanaougua hayo magonjwa ni group O kwa kuwa ni wengi wenye hilo kundi la damu mfano vidonga vya tumbo inaonekana wengi wa kundi O la damu wanaugua huu ugonjwa lkn si kwamba kuwa na kundi hilo la damu ndy itapelekea upate huo ugonjwa hapana.
 
Mimi ni mwanamke na group langu ndio hilo O+ lakini sina hizo tabia wala hayo maradhi.
 
Nna hizi tabia ila doctori aliniambia eti nna group B ngoja nkapime tena[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Asante mkuu tuna club yetu tunajuana, unajua pia sisi damu twaweza mpa yeyote lakini sisi twapeana wenyewe tu? Nashukuru Mungu pia ninae mtu wa karibu sana mwenye group hii ambae tunashea nae mpaka DNA, my lovely daughter.
Mambo yamebadirika.... sayansi imekua... tunatoa kwa yeyote na tunapokea kwa yeyote ..
 


mungu anakuona ujue, ila karibia yoote ni kweli kasoro hilo la fangasi..sasa inakuwaje hapa mimi nna group hilo, na mke hilohilo kumbe ndio maana tunafanya tendo kila siku ya mungu, kumbe grupu hili ni kiwanda cha genye, alafu hilo la kupenda vishundu, ngoja nkae kimya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…