Naomba kufahamishwa sifa za blood group "O+" positive

Naomba kufahamishwa sifa za blood group "O+" positive

Na mtu mwenye blood group A+ naomba kufahamu..
Katika utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka 2006 nchini Thailand, ulibaini kuwa watu wenye kundi A la damu wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya kinywa, tezi za mate na umio. Lakini pia utafiti huo ulibainisha kuwa watu wenye kundi B wana hatari kubwa ya kupata saratani ya koo.
Kundi A pia limekuwa likihusishwa na ongezeko la kutokea kwa saratani mbalimbali ikiwa ni pamoja na ya mishipa ya fahamu, utumbo, mifuko ya mayai, mfuko wa kizazi na mlango wa kizazi kwa wanawake. Tafiti zingine zinabainisha kuwa watu wenye kundi A na B, wana uwezo mkubwa wa kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu, lakini pia watu wenye kundi AB wana uwezo mkubwa zaidi wa kukabiliana na ugonjwa huo.
 
Asante mkuu tuna club yetu tunajuana, unajua pia sisi damu twaweza mpa yeyote lakini sisi twapeana wenyewe tu? Nashukuru Mungu pia ninae mtu wa karibu sana mwenye group hii ambae tunashea nae mpaka DNA, my lovely daughter.
Na mkeo nae ni O neg
 
Universal donor. Watu muhimu sana nyie na mpo wachache sana katika jamii zetu.

Jilinde mkuu maana unaweza kuja kutusaidia baadae..
Safi kabisa kwa sisi kuweza kisaidiwa damu nao ,tatizo linakuja kwao kupata Msaada wa damu wao wanahitaji damu aina yao tu,yaani Rh negative! huwa inasumbua hasa wakati wa dharura.
 
Mkuu unaweza tupa facts ni kwann hawazai wakiwa wote kundi O rh- ???
Sio kweli,O rh -anazaa vizuri bila shida akiwa na mume Orh-,coz kiumbe atakua ni Orh- kwahyo hitakua shida kwa mama,,shida inakuja kama mama ni rh + na baba no rh-,kiumbe atakua rh+ kama baba yake,so mama atatengeneza antibodies agaist rh+ ya mtoto,mtoto wa kwanza atazaa vizuri,shida itakua kwa mtoto atakayefuata
 
Back
Top Bottom