Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha haya partener wangu!!!!
Ebu ni PM kwanza...Haha haya partener wangu!!!!
heeee!!!!!!! twiga tena jaman me cmpi damu yangu ng'oo!!!!Alafu nasikia sisi wenye O+ unaweza kumuchangia damu yeyote ata kama ni twiga wa KIA,jee ni kweli?
he partener!!Iyo ni command au statement???Ebu ni PM kwanza...
Huyu Jamaa kajifunza wapi habari hizi?kama anakwenda kwenye njia vile[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] kma vile kunakaukweli
Kweli!!Huyu Jamaa kajifunza wapi habari hizi?kama anakwenda kwenye njia vile
Damu kundi "O" limegawanyika katika makundi mawili ambayo ni "O" Negative(Hasi) na "O" Positive (Chanya).
Katika kundi hilo wenye kundi Chanya wana Tabia nyingi sana amabzo weyewe hawajijui kama tabia hizo ni asili ya damu kudi hilo.
1.WENGI NI WAPENDA NGONO
Asilimia kubwa ya watu wenye kundi hili la damu wanapenda sana ngono kuliko kitu kingine,haswa wanaume wenye damu kundi hili wanapenda wanawake wenye makalio makubwa, wao hawaangalii sura,ili mwanamke amaye amejazia nyuma ndio wanavutiwa zaidi.
Kwa wanawake wenye damu kundi hili pia nao wanapenda sana mchezo huu,wana mvuto wa kupendwa nna wanaume.
2.NI WASEMAJI SANA
Asilimia kubwa ya watu wenye damu kundi hili wanapenda sana kusema(ni wachangamfu) haswa katika jamii ya watu.
3.NI WATOAJI WAZURI
Wengi wa watu wenye kundi hili wana moyo wa kutoa kuliko kupokea,huwa hawapendi wenzao wapate shida ila wengi wana asili ya kuutangaza msaada wao
kwel yani me natoa sanaa tena sana ila spewagi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ww ni doctor au..Damu kundi "O" limegawanyika katika makundi mawili ambayo ni "O" Negative(Hasi) na "O" Positive (Chanya).
Katika kundi hilo wenye kundi Chanya wana Tabia nyingi sana amabzo weyewe hawajijui kama tabia hizo ni asili ya damu kudi hilo.
1.WENGI NI WAPENDA NGONO
Asilimia kubwa ya watu wenye kundi hili la damu wanapenda sana ngono kuliko kitu kingine,haswa wanaume wenye damu kundi hili wanapenda wanawake wenye makalio makubwa, wao hawaangalii sura,ili mwanamke amaye amejazia nyuma ndio wanavutiwa zaidi.
Kwa wanawake wenye damu kundi hili pia nao wanapenda sana mchezo huu,wana mvuto wa kupendwa nna wanaume.
2.NI WASEMAJI SANA
Asilimia kubwa ya watu wenye damu kundi hili wanapenda sana kusema(ni wachangamfu) haswa katika jamii ya watu.
3.NI WATOAJI WAZURI
Wengi wa watu wenye kundi hili wana moyo wa kutoa kuliko kupokea,huwa hawapendi wenzao wapate shida ila wengi wana asili ya kuutangaza msaada wao ukiwaudhi.
4.MARADHI.
Maradhi makubwa yanayowasumbua ni malaria,kichwa kuuma upande mmoja(kipanda uso),mafua au kutoka damu za pua haswa wanapokula nyama,maziwa.
5.NGIRI
Kwa wanaume wenye damu kundi hili asilimia kubwa wana maradhi ya tumbo kujaa gesi haswa wanapokula baadhi ya vyakula haswa chipsi.
6.WANAFANANA NA WATOTO WAO
Wengi wakizaa huwa wanafanana sana na watoto wao iwe sura,tabia au mwendo na mara nyingi katika maisha yao huishi au kuzaa na mpenzi zaidi ya mmoja.
ALAMA ZAO
Alama kubwa za watu wenye damu kundi hili ni kuwasha na masikio kwa ndani,fangasi za vidole vya miguu kwa wanaume na kwa wanawake vidole vya mikono haswa wakifua,pua kuwasha kwa ndani.
Character of people according to Blood GroupHabari zenu jamani?naomba mnisaidie sifa zote za blood group "o+"(positive)mimi ndyo group yangu.
Character of people according to Blood Group
1.Blood Group O Type (Hot)
Population
Roughly 38% of the world is O +ve and 6% O -ve.
Traits
Confident and Strong-Willed, Proud, Dedicated, Sociable, Energetic, Extroverted, Frank, Realist, Showy, Flighty, Generalist, Positive, Independent, Risk-Takers, Dislike taking orders, Insecure, Stubborn & Self-Centered.
Make friends easily and go with flow and grasp opportunity. Quick to start a project or chase an idea. Are good at organizing activities. May have short attention span, and expresses strong emotions. May quickly take opposite views that are deep but not always durable. Classic entrepreneurs and movers and shakers.
Express their emotions but can be swayed by other blood types. Have an intrinsic elegance. Sociable and showy. May be good at adapting to circumstances. Words come easily to them. Not self conscious and will frankly reveal inner feelings. Ambitious, but may
THANKS
AT least but not Most!Kama wengi wetu tunavyofahamu, damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne; A, B, AB, na O. Lakini pia makundi haya kutokana na aina ya mfumo kinga wa Rh.
Mfumo huo wa RH yamegawanyika zaidi katika makundi madogo kama vile kundi A (hasi), kundi A (chanya), kundi B (hasi), kundi B (chanya), kundi AB (hasi), kundi AB (chanya), kundi O (chanya) na kundi O (hasi). Binadamu yeyote lazima awe mojawapo ya makundi hayo.
Historia inaonyesha kuwa makundi haya ya damu yaligundulika kutokana na jitihada za wataalamu wa tiba za kujaribu kuokoa maisha ya wagonjwa waliokuwa wanapungukiwa damu.
Wataalamu hawa walipojaribu kuwaongezea watu damu za wanyama au za binadamu wengine, mara nyingi walipoteza maisha na hii ilichochea udadisi ili kujua zaidi kuhusu damu.
Tofauti za makundi yetu ya damu zinatokana na urithi wa vinasaba vinavyotofautiana kutoka kwa wazazi wetu.
Kwa mujibu wa J.R. Storry na M.L. Olsson katika utafiti wao uliochapishwa katika jarida la kisayansi la Immunohematology toleo la 25 mwaka 2009, vinasaba vya urithi vinaweza kuamua kuwepo kwa tofauti za makundi ya damu kwa kutengeneza mifumo tata na iliyo tofauti ya kinga dhidi ya magonjwa katika ukuta wa nje wa chembechembe nyekundu za damu.
Hata hivyo kila kundi lina faida na hasara zake pale tunapoyahusisha makundi ya damu na uwezekano wa kuchangia kutokea kwa magonjwa au kutukinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza na magonjwa ya kuambukiza.
Kwa kipindi cha takribani miaka 20 sasa, wanasayansi wa maswala ya afya na tiba wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali kuhusiana na uwezekano wa makundi mbalimbali ya damu kuchochea au kuzuia utokeaji wa magonjwa kadhaa ambayo binadamu anaweza kuyapata.
Ushahidi wa tafiti nyingi umeonyesha kuwepo kwa mahusiano ya karibu baina ya makundi ya damu na hali ya afya ya mtu.
Katika utafiti wa hivi karibuni ulio ongozwa na N.A. Zakai wa Chuo Kikuu cha Tiba cha Vermont nchini Marekani na kuchapishwa katika jarida la kitabibu lijulikanalo kwa jina la Journal of Thrombosis and Haemostasis toleo la 12(4) la mwaka huu, ilibainika kuwa watu wenye kundi la damu la AB wanakabiliwa na uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kiharusi.
Katika utafiti mwingine wa mwaka 2006 ulioongozwa na Siripen Kalayanarooj wa Taasisi ya Afya ya Watoto ya Malkia Sirikit ya nchini Thailand (Queen Sirikit National Institute of Child Health, Bangkok, Thailand ), pia ilibainika kuwa watu wenye kundi la damu la AB, wako katika hatari kubwa ya kupata homa ya Dengue kuliko watu wengine.
Utafiti huo ulichapishwa kwenye jarida la magonjwa ya kuambukiza (The Journal of Infectious Diseases) toleo la 195(7).
Utafiti mwingine uliofanyika nchini Pakistan mnamo mwaka huu nao ulionyesha kuwa watu wenye ‘kundi A la damu’ wako katika hatari kubwa ya kupata magonjwa ya moyo.
Ushahidi wa kisayansi pia unaonyesha kuwa kundi hili la damu lina uhusiano wa karibu na ongezeko la lehemu mbaya mwilini. Aina hii ya lehemu imekuwa ikihusishwa na kuziba kwa mishipa ya damu na kusababisha magonjwa ya moyo, kiharusi pamoja na kupanda kwa shinikizo la damu.
Kundi A pia limekuwa likihusishwa na ongezeko la kutokea kwa saratani mbalimbali ikiwa ni pamoja na ya mishipa ya fahamu, utumbo, mifuko ya mayai, mfuko wa kizazi na mlango wa kizazi kwa wanawake.
Lakini pia kundi hili limekuwa na uhusiano wa karibu na saratani za kibofu cha mkojo, figo, kongosho na tezi za mate.
Utafiti mwingine wa hivi karibuni uliochapishwa katika jarida la tafiti za afya la Journal of Clinical & Diagnostics Research, ulibaini pia kuwa watu wenye kundi A la damu wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya kinywa, tezi za mate na umio. Lakini pia utafiti huo ulibainisha kuwa watu wenye kundi B wana hatari kubwa ya kupata saratani ya koo.
Tafiti zingine zinabainisha kuwa watu wenye kundi A na B, wana uwezo mkubwa wa kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu, lakini pia watu wenye kundi AB wana uwezo mkubwa zaidi wa kukabiliana na ugonjwa huo.
Katika utafiti wake Dk Ali S.T. Al Ghamdi wa Kitivo cha Sayansi za Tiba ya Kinywa na Meno katika Chuo Kikuu cha Mfalme Abdulaziz Jeddah, Saudi Arabia yeye alibaini kuwa watu wenye kundi B la damu wako kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa mkali zaidi wa uvimbe wa fizi.
Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania chini ya uongozi wa Dk Muredach Reilly uliowahusisha washiriki 20,000 na ulibaini kuwa watu wenye kundi O la damu wenye vinasaba ya kijenetiki aina ya Adamts7 hawana hatari kubwa ya kupata ugonjwa wa shambulio la ghafla la moyo kama ilivyo kwa watu wenye makundi mengine ya damu.
Hata hivyo baadhi ya watafiti wanaonyesha kuwa watu wenye kundi la O hawana kinga ya kutosha dhidi ya kipindupindu lakini wana kiasi fulani cha kinga dhidi ya Kifua Kikuu(TB), Malaria isiyo kali, saratani za kongosho, tumbo, matiti na mlango wa kizazi.
Watafiti wengine wanadai kuwa kundi hili la damu huchochea kwa kiwango kikubwa kutokea kwa saratani za ngozi na uambukizo wa bakteria aina ya Helicobacter pylori wanaosababisha vidonda vya tumbo.
Uhusiano wa makundi ya damu na kutokea kwa aina mbalimbali za saratani kwa mara ya kwanza ulielezwa na wanasayansi D.E. Anderson na mwenzake C. Haas katika jarida la maswala ya saratani mwaka 1984.
Utafiti mwingine wa hivi karibuni uliofanywa na timu ya wanasayansi kutoka katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Vermont nchini Marekani nao ulibaini kuwepo kwa uhusiano wa kundi la damu la AB na kupungua haraka kwa uwezo wa akili katika kufikiri unaowakabili wazee.
“Utafiti wetu ulikuwa unachunguza uhusiano uliopo kati ya makundi ya damu na kupungua kwa uwezo wa kufikiri lakini tafiti nyingi zimekwisha onyesha kuwa kuna mambo mengine yanayopunguza uwezo wa kufikiri kama vile shinikizo la damu, ugonjwa wa kisukari na ongezeko la lehemu mbaya mwilini” anasema Dk Mary Cushman, mmoja wa wanatimu wa utafiti huo walioutoa mwaka huu.
Katika utafiti mwingine uliowahusisha wanawake 82,000 wa nchini Ufaransa, watafiti wanadai wamebaini kuwepo kwa hatari kubwa zaidi kwa wanawake wenye damu kundi B kupata ugonjwa wa kisukari aina ya pili ikilinganishwa na wengine wenye makundi tofauti ya damu.
Utafiti huo ulioongozwa na Guy Fagherazzi, wa Kituo cha Utafiti wa vyanzo vya Magonjwa katika Jamii (CREP) cha Taasisi ya Gustave Roussy iliyoko Villejuif Ufaransa, ulibaini kuwepo kwa ongezeko la asilimia 35 zaidi ya hatari hiyo.
Baadhi ya wasomi wameipokea taarifa ya utafiti huo iliyochapishwa katika jarida la Diabetologia toleo la Desemba 18 mwaka huu kwa hisia tofauti.
Matatizo mengine ya kiafya ambayo yamekuwa yakihusishwa na makundi ya damu ni kuharibika kwa mimba au watoto kufia tumboni.
Hii inatokana na kutokupatana kwa makundi ya damu ya watoto na wazazi pamoja na uwezo wa kupata mimba kwa baadhi ya wanawake.
Baadhi ya watafiti wanadai kuwa wanawake wenye kundi O la damu wana uwezo mdogo wa kutunga mimba ikilinganishwa na wale wenye kundi A.
Katika utafiti mmoja uliowahusisha wanawake 560 walio katika umri wa kuzaa waliokuwa wanakabiliwa na tatizo la ugumba, ilibainika kuwa wanawake wenye kundi O la damu walikuwa na uwezekano mkubwa mara mbili zaidi ya wengine wa kuwa na mayai kidogo tena yasiyokuwa na afya njema.
Akizungumzia hali hiyo mtafiti Edward Nejat wa Chuo cha New York’s Albert anasema: “Sababu mahususi ya uhusiano wa kundi la damu na uwezo mkubwa wa mifuko ya mayai kuwa na mayai ya kutosha na yenye afya haikuwa bayana.
“Kwa wanawake wenye kundi O wanaohitaji kupata watoto, wanaweza kutumia matokeo ya tafiti hizi kuzaa mapema wakati ambapo mifuko ya mayai inapozalisha mayai kwa wingi ili kuepuka tatizo la ugumba linaloweza kujitokeza hapo baadaye.”
Mmoja wa watafiti wa maswala ya uhusiano kati ya makundi ya damu na magonjwa kutoka katika Kitivo cha Afya ya Jamii cha Chuo Kikuu cha Harvard, Profesa Lu Qi, anasema:
“Ingawa watu hawawezi kubadilisha makundi yao ya damu, utafiti wetu unaweza kusaidia madaktari kufahamu vizuri zaidi ni mtu gani yuko kwenye hatari zaidi ya kupata aina ya ugonjwa fulani.
Nasoma sana vitabu na majarida aiseeee......[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ww ni doctor au..
Sio kwa kupatia huko 100% .
Naa experience ilo la skio na kchwa na vngne viiiingi apo..umtisha mr.stone
Bigup[emoji109]
Kama kuna ukweli fulani hivi! Group langu n o+, tatizo langu kubwa ni mafua!Damu kundi "O" limegawanyika katika makundi mawili ambayo ni "O" Negative(Hasi) na "O" Positive (Chanya).
Katika kundi hilo wenye kundi Chanya wana Tabia nyingi sana amabzo weyewe hawajijui kama tabia hizo ni asili ya damu kudi hilo.
1.WENGI NI WAPENDA NGONO
Asilimia kubwa ya watu wenye kundi hili la damu wanapenda sana ngono kuliko kitu kingine,haswa wanaume wenye damu kundi hili wanapenda wanawake wenye makalio makubwa, wao hawaangalii sura,ili mwanamke amaye amejazia nyuma ndio wanavutiwa zaidi.
Kwa wanawake wenye damu kundi hili pia nao wanapenda sana mchezo huu,wana mvuto wa kupendwa nna wanaume.
2.NI WASEMAJI SANA
Asilimia kubwa ya watu wenye damu kundi hili wanapenda sana kusema(ni wachangamfu) haswa katika jamii ya watu.
3.NI WATOAJI WAZURI
Wengi wa watu wenye kundi hili wana moyo wa kutoa kuliko kupokea,huwa hawapendi wenzao wapate shida ila wengi wana asili ya kuutangaza msaada wao ukiwaudhi.
4.MARADHI.
Maradhi makubwa yanayowasumbua ni malaria,kichwa kuuma upande mmoja(kipanda uso),mafua au kutoka damu za pua haswa wanapokula nyama,maziwa.
5.NGIRI
Kwa wanaume wenye damu kundi hili asilimia kubwa wana maradhi ya tumbo kujaa gesi haswa wanapokula baadhi ya vyakula haswa chipsi.
6.WANAFANANA NA WATOTO WAO
Wengi wakizaa huwa wanafanana sana na watoto wao iwe sura,tabia au mwendo na mara nyingi katika maisha yao huishi au kuzaa na mpenzi zaidi ya mmoja.
ALAMA ZAO
Alama kubwa za watu wenye damu kundi hili ni kuwasha na masikio kwa ndani,fangasi za vidole vya miguu kwa wanaume na kwa wanawake vidole vya mikono haswa wakifua,pua kuwasha kwa ndani.
Mkuu vipi kwa +ve na +ve?? Manake kunawatu wangu wakarbu wote ni +ve nawanaujauzita wa miez 6, imekaaje nahio mkuu??Group 0 negative akikutana na mpenzi mwenye group km lake hawazai labda kwa maombi
"Ugonjwa wako"Aise umenigusa mno aloh!
Mimi ni O+ na ugonjwa wangu sugu ni Malaria,ilifikia wakati nikawa naugua Malaria ata kila baada ya mwezi na nusu,na pia kichwa pia ni tatizo,kuhusu "chura" ni kweli tupu,na hapo kwenye kupenda "K" opssssss!naishia hapo siendelei.
May beDamu kundi "O" limegawanyika katika makundi mawili ambayo ni "O" Negative(Hasi) na "O" Positive (Chanya).