Naomba kufahamishwa sifa za blood group "O+" positive

Jiwe dogo heshima kwako mkuu yaani umepiga utosini kwangu utadhani unaniongelea mimi...asante Mtoa mada asante pia JIWE DOGO,nimejitambua kwa uzuri sasa
 
***** we ni kiboko mkuu.
 
Jiwe gizani, mamaweeeeeeeeeee!.
 
Asilimia kubwa ulioongea hp ni ukwel mtupu
 
Wakuu mi nomba nijuzwe jambo moja na yeyote mwenye ufahamu kuhusu makundi ya damu, je kuna makundi mangapi ya damu?, naomba atakaye jaaliwa kujibu hili ayaorodhoshe hapa
 
Ahsante jiwe dogo kwa elimu.
 
Kuna ukweli asilimia kubwa
 
Wakuu mi nomba nijuzwe jambo moja na yeyote mwenye ufahamu kuhusu makundi ya damu, je kuna makundi mangapi ya damu?, naomba atakaye jaaliwa kujibu hili ayaorodhoshe hapa
Makundi ya damu kibongo bongo ni 4 ambayo ni Blood group A,B,AB, O. Ila group hizi ziko kwenye mgawanyo wa positive na negative. Kibongo bongo group O ndo wengi zaidi ya 70% so unaweza ona wanao jisifu hapo juu wengi ni wasiyo na uhelewa wowote wana shabikia wasivyo vijua. Group A wapo kama 20%. Wanafuatia B na AB wako wachache zaidi.

hiyo ni kwa mujibu wa hapa bongo lakn duniani kwa ujumla ziko aina zingine za damu tofauti na
ABO system kama vile Bombay rh hii ni aina ya group la damu ambayo ina patikana kwa jamii za watu kutoka india wana sumbuaga sana ikitokea issue za blood transfusion, pia kuna aina za group za damu za wazungu kama Duffy, luther, kelly, I, sina hakika kama nme ziandka zote vzr ni kwakuwa nilisoma Haematology kitambo hizi aina za damu huwa unakuta zina patikana kwa ukoo fulani tu.

labda niweke tu sawa juu ya hili siyo kwel kuwa group 0 hawapat magonjwa kirahisi just ni upotoshaji tu. na pia
O+ve siyo ndio wanao weza kutoa damu kwa magroup yote. 0-ve ndiye anaye weza toa damu kwa magroup yote ila yy anapewa na o-ve mwenzake tu. So unaweza ona 0-veanaweza mpa 0+ve lakn +ve awez mpa. Hii inaitwa mambo ya rhesus factor.
 
Wabheja sana mkuu[emoji122] [emoji106]
 
Nahisi ninazo zote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi ngiri masikio kuwasha pua tumbo kufanana na mtoto wangu msaada natoaga sana kwa omba omba njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…