Naomba kufahamishwa utaratibu wa kuomba ajira ya Ualimu Serikalini

kiye

Senior Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
117
Reaction score
25
Ni sehemu gani ya kuomba ajira ya Ualimu ngazi ya shahada kati ya hizi mbili TAMISEM ama Wizarani (MOEVT)?

Na ni njia gani inatumika kutuma maombi kati ya kuandika barua ama kwenda ofisini moja kwa moja?
 
Zote zinaweza kutumika ila nadhani kama una ubavu nenda ofisini kwao uongee nao ana kwa ana ili upate nafasi ya kuchagua sehemu nzur ya kufanyia kazi
 
Asanteni sana, itabidi nijitahidi niwafuate hukohuko ofisini kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…