kiye Senior Member Joined Apr 28, 2012 Posts 117 Reaction score 25 Aug 22, 2014 #1 Ni sehemu gani ya kuomba ajira ya Ualimu ngazi ya shahada kati ya hizi mbili TAMISEM ama Wizarani (MOEVT)? Na ni njia gani inatumika kutuma maombi kati ya kuandika barua ama kwenda ofisini moja kwa moja?
Ni sehemu gani ya kuomba ajira ya Ualimu ngazi ya shahada kati ya hizi mbili TAMISEM ama Wizarani (MOEVT)? Na ni njia gani inatumika kutuma maombi kati ya kuandika barua ama kwenda ofisini moja kwa moja?
kiye Senior Member Joined Apr 28, 2012 Posts 117 Reaction score 25 Aug 22, 2014 Thread starter #2 Ni sehemu gani ya kuomba ajira ya Ualimu ngazi ya shahada kati ya hizi mbili TAMISEM ama Wizarani (MOEVT)? Na ni njia gani inatumika kutuma maombi kati ya kuandika barua ama kwenda ofisini moja kwa moja?
Ni sehemu gani ya kuomba ajira ya Ualimu ngazi ya shahada kati ya hizi mbili TAMISEM ama Wizarani (MOEVT)? Na ni njia gani inatumika kutuma maombi kati ya kuandika barua ama kwenda ofisini moja kwa moja?
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Aug 22, 2014 #3 Zote zinaweza kutumika ila nadhani kama una ubavu nenda ofisini kwao uongee nao ana kwa ana ili upate nafasi ya kuchagua sehemu nzur ya kufanyia kazi
Zote zinaweza kutumika ila nadhani kama una ubavu nenda ofisini kwao uongee nao ana kwa ana ili upate nafasi ya kuchagua sehemu nzur ya kufanyia kazi
N Newtongift Member Joined Feb 21, 2014 Posts 93 Reaction score 5 Aug 22, 2014 #4 Peleka ombi lako wizaran
kiye Senior Member Joined Apr 28, 2012 Posts 117 Reaction score 25 Aug 22, 2014 Thread starter #5 Asanteni sana, itabidi nijitahidi niwafuate hukohuko ofisini kwao.