Nenda Tra wape details za b'ness yako kisha watafanya makadirio, usiogope.Wakuu kama kilivyo kichwa cha habari nimefungua salon ya kiume hapa DSM maeneo ya DUCE sasa TRA kila wakipita inabidi tufunge, kwa anayejua hivi salon inaweza kuwa sh ngapi kwa mwaka?
Mimi naingiza 25 kwa siku, na utaratibu ukoje wa kupata leseni, msaada wakuu
nenda tu kajieleze mkuu hasa watahitaji kujua kodi ya frem na kuingiza kwako kwa siku ili wafanye makadirioWakuu kama kilivyo kichwa cha habari nimefungua salon ya kiume hapa DSM maeneo ya DUCE sasa TRA kila wakipita inabidi tufunge, kwa anayejua hivi salon inaweza kuwa sh ngapi kwa mwaka?
Mimi naingiza 25 kwa siku, na utaratibu ukoje wa kupata leseni, msaada wakuu
sawa mkuunenda tu kajieleze mkuu hasa watahitaji kujua kodi ya frem na kuingiza kwako kwa siku ili wafanye makadirio
nashukuru mkuuNenda Tra wape details za b'ness yako kisha watafanya makadirio, usiogope.
nimekuelewa vizuri mkuu, ngja nilifanyie kazi maana wanazingua kishenziMfano:kodi ya frem 150, 000 kwa mwezi, kodi ya zuio ni 150, 000*10% utapata 15000 kwa mwezi. Unatakiwa ulipe ya mwaka mzima kwa hiyo 15000*12=180, 000 jumlisha stamp 18000/= so utatakiwa kulipia 198, 000/= kisha anakukadiria kodi yako sasa utakayotakiwa kuilipa kutokana na maelezo uliyompa kuhusu biashara yako, mfano una mtaji kiasi gani pamoja na hiyo kodi uliyolipa kwa muda gani ili aangaliye mtaji wako kisha akukadirie. Mfano ktk from kuna kipengele cha mtaji uliowekeza na mapato utakayoingiza kwa mwaka.. Hapo ndiyo sehemu anayotumia kukuchinjia... Mfano anaweza akakukadiria kodi ya mwaka 300, 000 kwa kuanzia atagawanya mara 4 =75000/= ambayo utatakiwa uilipe kila baada ya miezi mi3... Hivyo kwa kuanza ili upate leseni unatakiwa uwe na 75000+198, 000=273, 000/=jumlisha mhuri was mwanasheria 20, 000=293, 000/= hii ni mbali na leseni.. Hii ni TRA tuu... Bado manispaa
Soo TRA 293, 000 +LESEN MANISPAA 80, 000=373, 000/=